SAYVILLE JF-Expert Member Mar 25, 2010 5,128 7,893 Sep 19, 2021 #1 Wakuu, Najaribu kuzikumbuka hadithi za Kulwa na Doto amabazo zilivuma sana miaka ya nyuma. Embu tukumbushane hizi hadithi, misingi yake, mafundisho yake, nk.
Wakuu, Najaribu kuzikumbuka hadithi za Kulwa na Doto amabazo zilivuma sana miaka ya nyuma. Embu tukumbushane hizi hadithi, misingi yake, mafundisho yake, nk.