holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,670
- 8,670
- Thread starter
- #801
Habarini Wakuu hope mko njema, me kiafya siko vizuri kabisa ndo maana nashindwa kuweka muendelezo.Lakin napambana hivyo hivyo ili tusonge mbele.
Pia Mnanipa moyo sana asanteni kwa hilo, kuna comment moja ya mdau mmoja aliniuliza "mbona natoa historia yangu na huku nina miaka 20+ vipi nikifika 40+ years .Jibu ni kwamba binadamu saiz hatujui maisha yetu yanakoma lini na hata nikifika huko 40+ huu uzi bado unaishi nitaendelea kuleta story.
Inaendelea
Kama nilivyosema huu mwaka 2019 kiuchumi ckua vizur sana.Kuna Jamaa mmoja hivi alikua anataka kufungua Ps sasa cjui nani alimuelekeza kwangu.Alikuja akaniomba ni msaidie kusimamia Ps zake, nilisema ndio ndio atleast niwe na kitu cha kufanya.Nilichagua eneo zuri tu la biashara na kweli tulikua tunapiga hela mwanzoni mwanzoni mwa biashara.
Jamaa alinambia anilipe shngp lakin nilikataa nikamwambia cku ya jumapili awe ananiachia hela zinazo patikana niwe nachukua, alikubali na hyo jumapili nilikua napiga hela mpk jamaa akasema niwe nachukua hela ijumaa na jumamosi jumapili akawa anachukua yeye.
Nyumbani Mzee nae alikua haeleweki asee alikuwa anafanya mambo kisiri sana.
Ile nyumba aliyokua anajenga aliiuza bila hata kutwambia afu hela cjui alipeleka wapi iliisha faster akarud kwenye hari yake.
Niliamua kuacha kuimba kwaya maana nilikua busy sana na biashara ya watu.Lakin nilirud kuimba kwaya bila kupenda , lakin tena sio kwaya ya kanisa bali kwaya vijana.
Yule Manzi ambae nilikua namuona kwenye mahubir kuna rafiki angu ( yule ambae tulikua nae visiwani tunauza madawa ) alimshawishi huyo manzi aimbe kwaya.Kipind hicho ndo kwaya inaanza rasmi ya vijana.
Huyo Manzi ndo alinifanya nirud kuimba maana niliona ndo nafasi yangu kuwa nae.Ubaya ni kuwa demu hata alikua anielewi kabisa hata nikimpa hi anakausha tu, ila huyu demu alikua anajikuta cjui ni nani vile.
Kadri cku zilivyokua zinaenda ndo mapenz yangu yalikua yanazid kukua makubwa kwa huyo manzi.Na nilivyokua star kwenye kuimba lakin yeye muda na mimi ndo alikua hana.
Tokea mwezi wa sita tumeanza kuimba nae no yake ya simu alina mwez wa Nane au saba kama cjakosea, napo cku hyo kipind ibaada imeisha aliniita pembeni akanambia "holly holm leo umependeza hatare"....nilijisikia vby alivyonambia ina maana cku nyingine nilikua cpendezi aah...never mind nilimuomba namba akanipa.
Ila licha hata ya kupeewa no nilikua natuma text asubui anajibu usiku, ila huyu demu alinipa presha sana cku za mwanzo lakin alivyoingia kingi ikawa ni zamu yake na yeye kuteseka.
Siku moja nilikua zangu ps wateja hamna nacheza tu FIFA leuge yangu.Kuna Mama mmoja alikuja na jazba hatare, aliuliza kama me ndo muhusika pale nikasema ndio, basi akaanza kufoka kuwa me ndo nafanya watoto wake wanamuibia hela wanakuja nayo kuchezea Ps.
Na ni kweli pale ps wateja mara nying walikua ni watoto wa shule miaka saba mpk 18.Yule mama kwa vile alikuja kishari basi na mimi nilimpokea kishari mpk akaenda police na kwa mwenyekiti.Me nilichofanya nilimuita boss wangu akaja akamuhonga hela huyo mwenyekit, ikabid mwenyekit awe mtetez wetu.
Niliendelea kuchat na Huyo manz hivyo hivyo kibishi hata Makamb yalivyoisha niliendelea kuchat nae.Me nilikua najua kabisa huyo demu ana msela anae mpa kiburi.
Kila tukitoka zoez ilikua lazima ni msindikize kwao alafu ndo naenda tena ps.Kwenye tareh yangu ya kuzaliwa niliamua kmwambia ukweli kuwa nampenda hatari yaani ni yeye tu kwenye akili yangu lakini alinirusha akadai kuwa hajawai ku date na mwanaume yeyote maisha yake ko hawez pia kudate na mimi.Niliumia na kufurahi maana niliona bado nafasi yangu ni kubwa sana kuwa nae.
kuna cku moja kabla cjamtongoza huyo manzi....kanisan kulikua na harusi sasa me nilkua ni miongon mwa ma brighter cku hyo nilikua nime ng'aa hatar sasa baada ya ndoa kufungwa church ilifika muda wa kwenda kupiga picha tulienda Matvila beach tukapiga picha then tukarud church kula chakula.
Bwana harusi alinituma kuwa niende kwenye gari alilokua kapanda mkewe nimletee miwani.Nilienda kwenye hilo gari nilimkuta mzee mmoja ni mdosi kwa muonekano wake.ko nilimwambia kuwa nimetumwa miwani akanambia niitafute.
Nilitafuta miwani nikaikosa na yule mzee alitoka nje cjui alikua anaongea na simu.Kwenye ki dro cha gari nilifungua nikaona hela nyingi aisee....nilisema lazima nichukue hata kidogo nilimchek yule mzee nikawa naona yupo busy na simu nilichukua hela bila kuhesabu huyo nikatoka.....mzee alinuliza kama nimepata miwani nikamwambia hamna ko tukaanza kutafuta nae upya kumbe miwani ilikua kiti cha nyuma niliichukua nikasepa kuipeleka.
Nitarejea tena cko vizur kiafya tuombeane.