Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Habarini Wakuu hope mko njema, me kiafya siko vizuri kabisa ndo maana nashindwa kuweka muendelezo.Lakin napambana hivyo hivyo ili tusonge mbele.

Pia Mnanipa moyo sana asanteni kwa hilo, kuna comment moja ya mdau mmoja aliniuliza "mbona natoa historia yangu na huku nina miaka 20+ vipi nikifika 40+ years .Jibu ni kwamba binadamu saiz hatujui maisha yetu yanakoma lini na hata nikifika huko 40+ huu uzi bado unaishi nitaendelea kuleta story.

Inaendelea

Kama nilivyosema huu mwaka 2019 kiuchumi ckua vizur sana.Kuna Jamaa mmoja hivi alikua anataka kufungua Ps sasa cjui nani alimuelekeza kwangu.Alikuja akaniomba ni msaidie kusimamia Ps zake, nilisema ndio ndio atleast niwe na kitu cha kufanya.Nilichagua eneo zuri tu la biashara na kweli tulikua tunapiga hela mwanzoni mwanzoni mwa biashara.

Jamaa alinambia anilipe shngp lakin nilikataa nikamwambia cku ya jumapili awe ananiachia hela zinazo patikana niwe nachukua, alikubali na hyo jumapili nilikua napiga hela mpk jamaa akasema niwe nachukua hela ijumaa na jumamosi jumapili akawa anachukua yeye.

Nyumbani Mzee nae alikua haeleweki asee alikuwa anafanya mambo kisiri sana.

Ile nyumba aliyokua anajenga aliiuza bila hata kutwambia afu hela cjui alipeleka wapi iliisha faster akarud kwenye hari yake.

Niliamua kuacha kuimba kwaya maana nilikua busy sana na biashara ya watu.Lakin nilirud kuimba kwaya bila kupenda , lakin tena sio kwaya ya kanisa bali kwaya vijana.

Yule Manzi ambae nilikua namuona kwenye mahubir kuna rafiki angu ( yule ambae tulikua nae visiwani tunauza madawa ) alimshawishi huyo manzi aimbe kwaya.Kipind hicho ndo kwaya inaanza rasmi ya vijana.

Huyo Manzi ndo alinifanya nirud kuimba maana niliona ndo nafasi yangu kuwa nae.Ubaya ni kuwa demu hata alikua anielewi kabisa hata nikimpa hi anakausha tu, ila huyu demu alikua anajikuta cjui ni nani vile.

Kadri cku zilivyokua zinaenda ndo mapenz yangu yalikua yanazid kukua makubwa kwa huyo manzi.Na nilivyokua star kwenye kuimba lakin yeye muda na mimi ndo alikua hana.

Tokea mwezi wa sita tumeanza kuimba nae no yake ya simu alina mwez wa Nane au saba kama cjakosea, napo cku hyo kipind ibaada imeisha aliniita pembeni akanambia "holly holm leo umependeza hatare"....nilijisikia vby alivyonambia ina maana cku nyingine nilikua cpendezi aah...never mind nilimuomba namba akanipa.

Ila licha hata ya kupeewa no nilikua natuma text asubui anajibu usiku, ila huyu demu alinipa presha sana cku za mwanzo lakin alivyoingia kingi ikawa ni zamu yake na yeye kuteseka.

Siku moja nilikua zangu ps wateja hamna nacheza tu FIFA leuge yangu.Kuna Mama mmoja alikuja na jazba hatare, aliuliza kama me ndo muhusika pale nikasema ndio, basi akaanza kufoka kuwa me ndo nafanya watoto wake wanamuibia hela wanakuja nayo kuchezea Ps.

Na ni kweli pale ps wateja mara nying walikua ni watoto wa shule miaka saba mpk 18.Yule mama kwa vile alikuja kishari basi na mimi nilimpokea kishari mpk akaenda police na kwa mwenyekiti.Me nilichofanya nilimuita boss wangu akaja akamuhonga hela huyo mwenyekit, ikabid mwenyekit awe mtetez wetu.

Niliendelea kuchat na Huyo manz hivyo hivyo kibishi hata Makamb yalivyoisha niliendelea kuchat nae.Me nilikua najua kabisa huyo demu ana msela anae mpa kiburi.

Kila tukitoka zoez ilikua lazima ni msindikize kwao alafu ndo naenda tena ps.Kwenye tareh yangu ya kuzaliwa niliamua kmwambia ukweli kuwa nampenda hatari yaani ni yeye tu kwenye akili yangu lakini alinirusha akadai kuwa hajawai ku date na mwanaume yeyote maisha yake ko hawez pia kudate na mimi.Niliumia na kufurahi maana niliona bado nafasi yangu ni kubwa sana kuwa nae.

kuna cku moja kabla cjamtongoza huyo manzi....kanisan kulikua na harusi sasa me nilkua ni miongon mwa ma brighter cku hyo nilikua nime ng'aa hatar sasa baada ya ndoa kufungwa church ilifika muda wa kwenda kupiga picha tulienda Matvila beach tukapiga picha then tukarud church kula chakula.

Bwana harusi alinituma kuwa niende kwenye gari alilokua kapanda mkewe nimletee miwani.Nilienda kwenye hilo gari nilimkuta mzee mmoja ni mdosi kwa muonekano wake.ko nilimwambia kuwa nimetumwa miwani akanambia niitafute.

Nilitafuta miwani nikaikosa na yule mzee alitoka nje cjui alikua anaongea na simu.Kwenye ki dro cha gari nilifungua nikaona hela nyingi aisee....nilisema lazima nichukue hata kidogo nilimchek yule mzee nikawa naona yupo busy na simu nilichukua hela bila kuhesabu huyo nikatoka.....mzee alinuliza kama nimepata miwani nikamwambia hamna ko tukaanza kutafuta nae upya kumbe miwani ilikua kiti cha nyuma niliichukua nikasepa kuipeleka.

Nitarejea tena cko vizur kiafya tuombeane.
 
Ila jamaa nayeye katili si bora angemwambia mwenye simu ampe hata elfu30 au 40 au 50 then akamrudishia simu.

Sasa sijui holy holm aliuza hiyo J1 kwa hasara ya bei gani ??
huyo jamaa alikua mnyonge mnyonge ko mimi wanyonge nilikua nawaonea sana
 
daaaaaaaaaah hatari
 
Pole sana muhun wangu,piga tangawizi kali mjuba utakua sawa inshaalaah
 
Pole kwa kutokujisikia vizuri. Lakini kabla ya mambo yote make sure umeyatengeneza maisha yako na Mungu maana tunatoweka kama mvuke. Make sure umeshammpa Yesu maisha Yako.

Rum 10:9-12​

Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. Kwa maana andiko lanena, Kila amwaminiye hatatahayarika. Kwa maana hakuna tofauti ya Myahudi na Myunani; maana yeye yule ni Bwana wa wote, mwenye utajiri kwa wote wamwitao
 
Inaendelea

Sijui kwanini nilikua na tamaa na kupiga matukio na ingawa nilikua Mkristo tena niliyebatizwa hapo kwa kweli cjui kabisa.Nikikaa kuyawaza niliyofanya mengine nacheka na mengine nayaacha tu kama yalivyo.

Hata cku hyo nilivyoiba hela kwenye gari nilijilaumu sana na uzur yule mzee hakustuka hata kidogo nilikausha tu.

Ukaribu wangu na huyo Manzi ulizid kuwa mkubwa sana licha ya kunikazia kuwa hanipendi lakin kila cku nilivyokua namsindikiza yeye pia niliona dalili zote za kunipenda kuanza.

Nilisahau kitu kimoja kukielezea, kabla huyu Manzi cjamwambia kuwa Nampenda nilikua napatwa na wivu mkali nikimuona na vivulana yaan yaacheni tu Mapenzi asee.Cku moja nilijikuta nimemtukana tusi la nguoni bila kupenda.

Siku hyo ilikua hivi......Nilikua ps kama kawaida muda wa zoez ulivyofika nilimuachia dogo mmoja maelekezo kuwa aendelee kukaa na wateja basi me nikawai zoezi ili nimuone tu huyo manzi roho isuhuzike.

Nilifika zoezi lakini Manzi hakuwepo nikasema hata hivyo atakuja tu nisiwe na hofu.....zoezi lilianza mpk kufikia saa 11 jioni alikua hajatokea kiukweli nilikosa raha ( zoez tulikua tunaanza saa 10 mpk saa 12 jioni )....kipindi tunamalizia kuimba ndo akatokea sasa atleast moyo ukatulia.

Tulipeana matangazo kisha tukaondoka kwenda kumfariji muimbaji mwenzetu alifiwa na mzazi wake.

Wakat tunatoka zoezi kwenda kwao na huyo mwimbaji mwenzetu, Manzi ckumuona kama kaongozana na sisi basi tukafika kwa mlengwa tukamfariji na kumpa hela, wakat wa kuondoka sasa ndo manzi nae anakuja sasa mbiombio lakin ckuamini kumuona yupo na Bishoo tena bishoo haswa nikajua tu huyu mkuda ndo ana nichukulia furaha yangu ( kumbuka hapo bado cjamtongoza Manzi )...

Kalikuja mbio mbio kakaomba samahan kwa ticha kuwa alikua busy, alivyomaliza kuongea na ticha akamrudia yule bishoo wake wakaanza safari kuondoka.Uzalendo ulinishinda nilimuita akaja kiadabu kweli...nilimuuliza yule ni nani yako akajbu ni ndugu yake cjui mtoto wa nan nan yao...pia nikamwambia mbn ulichelewa zoezi leo ( utadhani me ni ticha )...alinambia tu alikua ameenda Nida kujiandika ili apate No za Nida ( kipindi hicho ndo Nida ilikua Nida ) tena alitoa yale makaratasi ya nida nikayaona.Alafu nilimwambia mbn huyo bishoo wako ananiangalia vbya kuna nini kati yenu...
aliruka futi 800 kuwa yule ni ndugu yake, nilijikuta tu Tusi la nguoni limenitoka nikamtukana huyo mpk akabaki anashangaa, nilivyomtukana nikasepa zangu kwa washikaji.Nilimuacha ananiangalia kwa kuni shangaa kutokana na lile tusi.

Nilivyofika home niliona nimekosea sana kumtukana lile tusi wakati manzi mwenyewe nilikua cjamuelezea hisia zangu.Midaa ya sanne ali ni text akasema kwani alinikosea nini mpk nikamtukana nilimkaushia tu ckumuomba samahani.

Lakin kesho yake zoezi alikuja na muda wa kutoka aliniomba nimsindikize uzur akugusia yale ya jana ko ndo ikawa kila mtu amesamehe hivyo.

Na hata cku hyo kwenye harusi hisia zake kwangu nilikua naziona sana, hata wivu tu alikua nao akiniona na naongea na mademu wengi.

Hapo kwenye kwaya yetu kulikua na Manz mmoja nilikua na mtafuna kisiri kisiri, huyo manzi alianza kuleta mazoea ya kijinga sana kinyume na makubaliano yetu.Kama cku hyo ya harusi yule manzi alinambia ikifika saa mbili usiku yeye anaenda kwao ko alitaka ni msindikize kwao nikasema ni vizuri sana.

Sasa nilikaa sehemu moja ya giza giza kumsubir huyo manzi aje ni msindikize kwao.Kipindi nimekaa hapo gizani c akaja yule manzi mwingine alini ganda sana anataka hela kuona kuwa ata harbu mishe nilimtolea ten ( kwenye zile hela nilizoiba ndani ya gari ) nikampa ile nampa tu akatokea yule manzi alituona akanuna ghafla yaani njiani alikua aniongeleshi hapo nilijua kuwa ananipenda huwa ananifanyia makusudi.

Nilimsindikiza mpk kwao tena ckutaka kuchukua boda maana nilipanga nimpitishe vichochoroni ni mnyonye hata mate sema tu yule manzi ndo aliharibu show .Nilimfikisha kwao bahat nzur wazaz wake hawakuepo tulimkuta mdogo wake wa kike ( miaka kama 6 hivi )...nilipiga story kidogo nikaaga naondoka.Alinisindikiza mpk jirani na lile kanisa la walokole ( mkinyerelo ) hata inshu ya kumnyonya mate niliacha ckutaka kumlazimisha.

Nimuache kwanza huyu manzi nitamrudia tena.

Turudi kwa Mzee wangu yani cjui ni nani alimroga yaani alikua hana mwelekeo kabisa.Kuna muda alikua anakosa kabisa hata mia inabidi cc wanae ndo tumpe hela hata ya kunywa bia maana akikosa bia hua anakuwa mgonjwa, future yake hakuindaa vizur ukijumlisha malaya na Chawa ndo walikua wanammalizia hela zake.Alikua akipata hela wapambe hawaishi kuja home.

Kuna chawa wake mmoja nilimfanyia kitendo mpk leo huwa ananiogopa.Cku mzee ameuza ile nyumba viela c alikua navyo bai chawa walikua kila muda wanakuja home kumtafuta mzee.

Sasa huyo chawa cku hyo ilikua jumapili Mzee ana hela kama kawaida yake akagonga mlango mdogo wangu wa kike alitoka kwenda kujua ni nan huyo.

Ilikua ni asubui bado tumelala sasa nilimsikia huyo mpambe anamuulizia mdogo wangu kama mzee yup, dogo alimjibu ndio yupo, me kusikia hivyo niliamka speed ( nilikua nimelala lakin nachati ) kwenda kuona ni nani...nilimkuta huyo mpambe nikamwambia Mzee hayupo ko asepe kwa amani tu.

Alishindwa apokee jibu lipi la yupo au hayupo lakin alidai aingie ndani amsubirie...nilimgomea kuingia ndani asee.Tena niliamua kumchana ukweli kuwa mzee akiwa hana hela pua zao hua azionekani pale home lakin akiwa nazo ndo ma***mb yao yana washakuja pale home ( mdogo wangu wa kike alichekaa )...Chawa kusikia hvyo alianza kugomba kuwa cna adabu ajui kuwa yeye ni mkubwa wangu akatoa simu ampigie mzee nikainyakua hyo nikairusha kwenye nyumba iliyokua inajengwa hapo pembeni.

Alikasirika akanikaba me pia nikamkaba aliniangusha kwenye mchanga wa kujengea me nikawa nimemkaba shati lake shingoni vizur tu.Alibadilika macho yakawa mekundu.

Mzee alikuepo sana ndani alikuja kuachanisha aliposikia hyo tafrani baadhi ya majirani walikuja kuona video ya bure asubui ile.

Huyo mpambe shati lilikua limechanika ko alianza kunishtaki kwa Mzee kuwa nimemkosea heshima.Ni kweli nilimkosea heshima lkin niliamua kufanya hivyo ili mzee apate akili kidogo juu ya future ya wadogo zangu.

Miaka ya nyuma nilisahau kusema kwa ufupi ni kuwa mzee alikopa hela benki bila sisi kujua akaenda kuhonga watu eti ili waje wampitishie agombee udiwani matokeo yake hela zililiwa zote akabaki kukatwa hela kubwa kwenye mshahara wake.Ko hata me sometime nilikua ctaki kuondoka home kwa ajili ya wadogo zangu.

Mzee alinigombeza kwa kumdharilisha yule mpambe alimpa shat lake avae maana lile lake lilichanika sana.

Nilikumbuka kuwa kuna simu niliitupa kwenye ile nyumba basi nilivyoona wameingia ndani nilienda kuitafuta nikaipata.Nilitoa lain nikatupa chooni simu nikaificha.

Aliulizia simu yake nikasema cjui iipoangukia Mzee alisema niitafute nikaitafuta nikarudisha majibu cjaiona, ko cjui walimalizana vipi.Baada ya hilo tukio Kesho yake jumatatu mzee aliniamsha asubui sana akanambia hivi wewe c ni mwanaume ( niliogopa kujibu hili swali maana nilijua ni mtego ).. alivyoona nipo kimya akachomoa wallet akatoa 80k akanambia chukua hyo ufanyie mambo yako madogo madogo, nilishangaa maana sio yakawaida yake kunipa hela.Ila kila mwanae alimpa hela hizo alizouza nyumba, alinambia nijarbu ku behave mbele wakubwa.Niliachana nae nikaenda zangu Ps kupiga kazi

N.B.Huu mwaka 2019 matukio sijayapanga katika miezi yaani naweza visa vimejichanganya, nimeamua kufanya hivyo ili niende mbele vizuri.ukiwa kuna sehemu hujaelewa vzr basi utaniuliza swali.

Nitarudi kuendelea.
 
dah ,, mwisho unaumiza ,, maza arudu tu
 
Pole kwa kutokujisikia vizuri. Lakini kabla ya mambo yote make sure umeyatengeneza maisha yako na Mungu maana tunatoweka kama mvuke. Make sure umeshammpa Yesu maisha Yako.

Rum 10:9-12​

Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. Kwa maana andiko lanena, Kila amwaminiye hatatahayarika. Kwa maana hakuna tofauti ya Myahudi na Myunani; maana yeye yule ni Bwana wa wote, mwenye utajiri kwa wote wamwitao
Ubarikiwe mtumishi.
 
Back
Top Bottom