Hadithi ya kweli ya maisha yangu

nakumbuka umiseta mwaka 2012 kama sikosei uwanja wa karume baada ya kushinda 4 kwa 3 nikiwa kama streka wa Mara boys nilipiga hatrick


Bac ile tunarudi shule nyuma kidogo tu ya ule uwanja walitokea vijana wadogo kama wa 4 ivi na masime wakampokonya mwanafunzi mwenzetu simu na pesa

Wengine tulikua hatujui nini kinaendelea mpaka tuliposikia mikwaruzo ya sime hapo tukagawanyika makundi mawili, waliokua mbele wakakimbilia shuleni sisi wa nyuma tukaanza kukimbia ovyo mjini , wenye hela wakawa wanadandia boda boda kurudi shule cc wengine tunakimbia ovyo tu

Cha kushangaza kuna wazee wanapishana na wale madogo hata hawawasumbui wakawa wanatwambia nyie watoto wagonjwa kweli yani mko mia mnatishwa na watu wanne?

Nakumbuka sana tukio hilo

Sema mtoa mada nataka nikuulize hukuwemo kweli katika hao madogo?
😂😂
 
Back
Top Bottom