Hapo zamani za kale kulikuwa na Ukoo iliyoishi kwa amani na upendo
Ukoo ulee ulikuwa na taratibu za kuwa na kiongozi wa ukoo kila baada ya muda na mmoja kuamua kupumzika
Wakati flani alitokea kiongozi mmoja aliyekuwa anapenda amani kupita kipimo na aliruhusu watoto wa familia ile wawe huru kujadiliana nae matatizo na changamoto zinazoikumba jamii yao na hii ilimsaidia kuwa kiongozi bora aliyependwa mpaka na koo zingine
Baada ya muda mzee yule akachoka na akahitaji kukabidhi madaraka ya kuongoza ukoo ule kwa kijana mkubwa wa familia ile.
Kijana alipokabidhiwa uongozi wa ukoo ule kwanza alimuona mzee aliyemkabodhi kama aliyekuwa amepwaya na asiyefaa kuwa kiongozi
Cha kwanza alichofanya alienda kwa jirani ambako kuna koo nyingine inayoongozwa na kijana mwingine dharimu aliyekuwa katili anayepiga wake zake na kuwanyima uhuru ndugu wa koo ile kiasi cha kuonekana hafai katika jamii zinazomzunguka
Yule kijana dharimu akamwambia huyu kijana wa koo ya hadithi yetu kuwa ukihitaji kutawala vizur kuwa katili,zuia watu kukuhoji na kuwa unapiga wake zako na watoto hadharani
Mwanzoni watu hawatakuelewa maana wamezoea dezo ila baada ya muda watazoea na hakuna atakayehoji tena
Basi yule kijana akaliweka hilo neno moyoni na kuamua akirudi atalitumia
Baada........
Itaendelea