princewilly
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 259
- 526
SEHEMU YA 01 “Johnson! Naomba unisikilize, nisikilize kwanza,” alisema msichana mmoja, mrembo ambaye kwa kumwangalia, usingekuwa na maswali mengi kwamba alikuwa mmoja wa wasichana ambao baadaye wangeweza kutikisa sana nchini Tanzania.
“Nakusikiliza! Niambie! Mbona unaonekana hivyo Bhoke?” aliuliza kijana huyo aliyeitwa kwa jina la Johnson.
“Mama yangu anakufa!” alisema Bhoke huku machozi yakianza kumtoka.
Aliongea kwa uchungu, alionekana kuwa mtu ambaye aliumizwa na kile kilichokuwa kikiendelea. Kuumwa kwa mama yake kulimfanya kukosa amani, furaha aliyokuwanayo kipindi cha nyuma ikaondoka kabisa moyoni mwake.
Macho yake yalikuwa mekundu huku machozi yakiendelea kutiririka mashavuni mwake, picha ya mama yake akiwa kitandani huku akiugua ugonjwa wa kansa ya koo ilimtesa kiasi cha kuona giza mbele yake.
Johnson alimwangalia Bhoke, alimpenda msichana huyo, alikuwa mzuri wa sura, mchanganyiko wa rangi ulioonyesha kwamba alichanganya rangi za wazazi wake, baba yake alikuwa Mzungu, Mjerumani aliyekuwa akiishi jijini Berlin na mama yake alikuwa Mswahili, Mtanzania kabila la Kizigua.
Alikuwa na nywele nyingi, umbo lake lilimvutia kila mwanaume aliyekuwa akimwangalia, alikuwa na macho ya kuita na kifua chake kilisimama hasa. Alikuwa na kiwowowo cha kizushi ambacho kilimtoa udenda kila mwanaume aliyekuwa akimwangalia. Uzuri wake ulionekana maradufu, haikujalisha kama alikuwa akicheka, akilia au kukasirika.
Hapo alipokuwa akiishi, maeneo ya Magomeni Mapipa alijulikana zaidi kwa jina la Cleopatra. Watu walimuita jina hilo kutoka kwa malkia wa Misri miaka ya nyuma ambaye inasemekana alikuwa mrembo kuliko mwanamke yeyote aliyewahi kuumbwa katika dunia hii.
Alikuwa na miaka kumi na mbili tu lakini pamoja na udogo wake wa umri tayari watu walimtabiria makubwa kwamba kuna siku angeweza kutikisa sana Tanzania, watu wangemjua kwa sababu tu alikuwa na uzuri ambao ulikuwa ni vigumu kuonekana kwa wasichana wengine.