Hadithi: Kawa mtumwa kuzimu kwaajili ya tamaa ya mali

IDDY S MHANDO

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
9,798
12,605
Ni binti anaeitwa Nifah alizaliwa katika familia yenye msimamo mkubwa sana wa kidini, hivyo alikuwa ki maadili ya dini alijiepusha sana na anasa zote za ulimwenguni hapa, alibahatika kupata mume anaeitwa mshana jr wakaoana lakini bahati mbaya yule mume alikuwa mlevi sana hivyo ugomvi wa hapa na pale aukuisha katika familia ya Nifah ata hivyo Nifah hakuchoka kumuomba MUNGU wake kwa imani yake ya dini.
this-is-the-best-age-to-start-your-own-business-1625128-1452907178.640x0c.jpg

Kwakuwa mumewe alikuwa anajimudu kifedha aliamua kumfungulia bihashara Nifah , siku za mwanzo alikuwa akipata faida kubwa sana kutokana na ile biashara aliyofunguliwa na mumewe, lakini kadri siku zilivyokuwa zinaenda hali kibiashara ikazidi kuwa mbaya kiasi kwamba akawa apati faida na siku zingine zinaweza zikapita bila Nifah kuuza ata bidhaa moja lakini cha ajabu maduka ya pembeni ambao nao walikuwa na bidhaa sawa na zile zilizopo kwa Nifah wao walikuwa wanauza na kumaliza bidhaa zao zote. kila wiki walikuwa wanaingiza mzigo mpya.
wpid-crying-at-work.jpg

Kutokana na kuporomoka kwa biashara yake Nifah alilia sana na kumwambia MUNGU kwanini amemtupa. aliendelea kumuomba MUNGU lakini mafanikio akuyaona ilimlazimu Nifah ajenge urafiki wa karibu na wafanyabiashara wenzake ili waweze kumpa mbinu atakazo zitumia ili na yeye biashara yake iuzike kama biashara zao zinavyouzika. Nifah aliwauliza kwani nyie mnafanya vipi biashara zenu? Wale wafanyabiashara wenzake wakamwambia kwa kejeli kuwa tunafanya kama wewe unavyofanya uku tunamuomba MUNGU. Nifah hakurizikana na majibu ya wale majirani zake aliwalazimisha sana wampe mbinu za kibiashara ili nayeye afanye biashara kama wao wanavyo fanya biashara.
0405_dont-cry_380x278.jpg

Nifah Aliwalazimisa sana vile vile alitaka kujua kama pengine kuna sehemu wanachukuwa bidhaa nzuri kushinda zake ili na yeye aende uko kuchukua izo bidhaa,baada ya mazungumzo ya hapa na pale na mmoja wa wafanyabiashara aliyekuwa anaitwa miss chagga anaefanya biashara jirani na ilipo biashara ya Nifah, atimaye miss chagga alikubari kumpeleka sehemu wao wanapochukua mizigo yao ya biashara. walipokuwa njiani wanaenda kufungasha miss chagga akamwambia Nifah kwakuwa umeamua mwenyewe kutaka kujua mbinu tunazotumia kufanya biashara naomba ufuate kila ambacho mimi nitafanya Nifah akakubari, miss chagga akanunua mayai matatu {3}mabovu {mayai viza}na Nifah naye akafanya hivyo hivyo. safari iliwapeleka hadi kando kando ya bahari miss chagga alichukua yale mayai akarusha moja moja baharini na Nifah nae akafanya kama ambacho miss chagga amefanya.
ku-xlarge-4.jpg

Hatimaye ilitokea njia pale baharini miss chagga alimuongoza Nifah wakapita kwenye ile njia ambayo iliwapeleka hadi katikakati ya bahari kwa Nifah yale yalikuwa ni maajabu makubwa sana kwani pindi walipokuwa wanazidi kwenda mbele ndivyo uku nyuma maji yalivyokuwana yanaziba ile njia waliyokuwa wanaingia nayo baharini hakuwa na jinsi Nifah alikubari matokeo walifika mwisho wakakuta geti miss chagga akagonga wakafunguliwa. miss chagga alipongezwa sana kwa kumpeleka Nifah katika nchi ile mbaya ya kuzimu, miss chagga alipewa bidhaa zake nyingi tena zenye thamani kubwa kisha eddy_mhando Ambaye alikuwa mkuu wa mashetani wabaya akamwambia Nifah tumekutafuta kwa muda mrefu kwa maana ulikuwa unajifanya unamjua sana MUNGU. Ulipokuwa unaomba uliangamiza kizazi chetu ndugu zetu wengi sana uliwaangamiza kwa maombi yako sasa huu ndio mwisho wako tutahakikisha auioni tena dunia uliyotoka. Nifah alilia sana lakini alisha chelewa kwani eddy_mhando aliamuru jeshi lake limsurubu vibaya Nifah kisha wakamfunga Nifah kwa minyororo
carroll1.jpg

miss chagga alirudi duniani akaendelea na biashara yake ambayo pia ilikuwa sana na alitajirika kwa muda mfupi mno, mshana jr alishanga kuona siku zinaenda bila mkewe Nifah kurudi maana kipindi anamuaga alimwambia kuwa angeondoka na miss chagga akupata shida mshana jr akamfuata miss chagga na kumuomba amwambie alipomuacha Nifah kutokana na usumbufu alioupata miss chagga aliamua kumpeleka mshana jr alipo mkewe Nifah ... mshana jr alishangaa sana lakini kutokana na mshana kuwa alikuwa mlevi sana alikaribishwa kule vizuri mno akapewa pombe na mapakti mengi ya sigara baadae alionyeshwa mkewe jinsi alivyokuwa anapokea adhabu kari za kutisha. mshana jr alishindwa kuvumilia ikabidi miss chagga amtoe mshana jr kule katika nchi mbaya ya mashetani. uku duniani mshana jr aliamua kumrudia MUNGU alifunga na kuomba mchana na usiku.....
olhosfamintos.jpg


tuishie hapo kwa leo {story hii ni ya kutunga haiusiani na maisha ya watu wenye majina yaliyotumika katika story. vile vile naomba mnisamehe sana kwani majina yenu nimeyatumia bila ridhaa yenu ila sikuwa na nia ya kuwachafua. lengo la story ni kukuasa msomaji kuwa tumche sana MWENYEZI MUNGU maana kumcha mwenyezi MUNGU ni vita kubwa unayoianzisha na mashetani wabaya siku ukilegea kiimani ni rahisi sana wao mashetani wabaya kukudhuru na kuyaharibu vibaya maisha yako}
 
ni binti anaeitwa Nifah alizaliwa katika familia yenye msimamo mkubwa sana wa kidini, hivyo alikuwa ki maadili ya dini alijiepusha sana na anatha zote za ulimwenguni hapa, alibahatika kupata mume anaeitwa mshana jr wakaoana lakini bahati mbaya yule mume alikuwa mlevi sana hivyo ugomvi wa hapa na pale aukuisha katika familia ya Nifah ata hivyo Nifah hakuchoka kumuomba MUNGU wake kwa imani yake ya dini.
this-is-the-best-age-to-start-your-own-business-1625128-1452907178.640x0c.jpg

kwakuwa mumewe alikuwa anajimudu kifedha aliamua kumfungulia bihashara Nifah , siku za mwanzo alikuwa akipata faida kubwa sana kutokana na ile biashara aliyofunguliwa na mumewe, lakini kadri siku zilivyokuwa zinaenda hali kibiashara ikazidi kuwa mbaya kiasi kwamba akawa apati faida na siku zingine zinaweza zikapita bila Nifah kuuza ata bidhaa moja lakini cha ajabu maduka ya pembeni ambao nao walikuwa na bidhaa sawa na zile zilizopo kwa Nifah wao walikuwa wanauza na kumaliza bidhaa zao zote. kila wiki walikuwa wanaingiza mzigo mpya.
wpid-crying-at-work.jpg

kutokana na kuporomoka kwa biashara yake Nifah alilia sana na kumwambia MUNGU kwanini amemtupa. aliendelea kumuomba MUNGU lakini mafanikio akuyaona. ilimlazimu Nifah ajenge urafiki wa karibu na wafanyabiashara wenzake ili waweze kumpa mbinu atakazo zitumia ili na yeye biashara yake iuzike kama biashara zao zinavyouzika. Nifah aliwauliza kwani nyie mnafanya vipi biashara zenu? wale wafanyabiashara wenzake wakamwambia kwa kejeli kuwa tunafanya kama wewe unavyofanya uku tunamuomba MUNGU. Nifah hakurizikana na majibu ya wale majirani zake aliwalazimisha sana wampe mbinu za kibiashara ili nayeye afanye biashara kama wao wanavyo fanya biashara.
0405_dont-cry_380x278.jpg

Nifah aliwalazimisa sana vile vile alitaka kujua kama pengine kuna sehemu wanachukuwa bidhaa nzuri kushinda zake ili na yeye aende uko kuchukua izo bidhaa,baada ya mazungumzo ya hapa na pale na mmoja wa wafanyabiashara aliyekuwa anaitwa miss chagga anaefanya biashara jirani na ilipo biashara ya Nifah , atimaye miss chagga alikubari kumpeleka sehemu wao wanapochukua mizigo yao ya biashara. walipokuwa njiani wanaenda kufungasha miss chagga akamwambia Nifah kwakuwa umeamua mwenyewe kutaka kujua mbinu tunazotumia kufanya biashara naomba ufuate kila ambacho mimi nitafanya Nifah akakubari, miss chagga akanunua mayai matatu {3} mabovu {mayai viza} na Nifah naye akafanya hivyo hivyo. safari iliwapeleka hadi kando kando ya bahari miss chagga alichukua yale mayai akarusha moja moja baharini na Nifah nae akafanya kama ambacho miss chagga chaga amefanya.
ku-xlarge-4.jpg

hatimaye ilitokea njia pale baharini miss chagga alimuongoza Nifah wakapita kwenye ile njia ambayo iliwapeleka hadi katikakati ya bahari kwa Nifah yale yalikuwa ni maajabu makubwa sana kwani pindi walipokuwa wanazidi kwenda mbele ndivyo uku nyuma maji yalivyokuwana yanaziba ile njia waliyokuwa wanaingia nayo baharini. hakuwa na jinsi Nifah alikubari matokeo walifika mwisho wakakuta geti miss chagga akagonga wakafunguliwa. miss chagga alipongezwa sana kwa kumpeleka Nifah katika nchi ile mbaya ya kuzimu, miss chagga alipewa bidhaa zake nyingi tena zenye thamani kubwa kisha eddy_mhando ambaye alikuwa mkuu wa mashetani wabaya akamwambia Nifah tumekutafuta kwa muda mrefu kwa maana ulikuwa unajifanya unamjua sana MUNGU. ulipokuwa unaomba uliangamiza kizazi chetu ndugu zetu wengi sana uliwaangamiza kwa maombi yako sasa huu ndio mwisho wako tutahakikisha auioni tena dunia uliyotoka. Nifah alilia sana lakini alisha chelewa kwani eddy_mhando aliamuru jeshi lake limsurubu vibaya Nifah ....kisha wakamfunga Nifah kwa minyororo
carroll1.jpg

miss chagga alirudi duniani akaendelea na biashara yake ambayo pia ilikuwa sana na alitajirika kwa muda mfupi mno, mshana jr alishanga kuona siku zinaenda bila mkewe Nifah kurudi maana kipindi anamuaga alimwambia kuwa angeondoka na miss chagga akupata shida mshana jr akamfuata miss chagga na kumuomba amwambie alipomuacha Nifah kutokana na usumbufu alioupata miss chagga aliamua kumpeleka mshana jr alipo mkewe Nifah ... mshana jr alishangaa sana lakini kutokana na mshana kuwa alikuwa mlevi sana alikaribishwa kule vizuri mno akapewa pombe na mapakti mengi ya sigara baadae alionyeshwa mkewe jinsi alivyokuwa anapokea adhabu kari za kutisha. mshana jr alishindwa kuvumilia ikabidi miss chagga amtoe mshana jr kule ujinini. uku duniani mshana jr aliamua kumrudia MUNGU alifunga na kuomba mchana na usiku.....
olhosfamintos.jpg


tuishie hapo kwa leo {story hii ni ya kutunga haiusiani na maisha ya watu wenye majina yaliyotumika katika story. vile vile naomba mnisamehe sana kwani majina yenu nimeyatumia bila ridhaa yenu ila sikuwa na nia ya kuwachafua. lengo la story ni kukuasa msomaji kuwa kama tumche sana MWENYEZI MUNGU maana kumcha mwenyezi MUNGU ni vita kubwa unayoianzisha na mashetani wabaya siku ukilegea kiimani ni rahisi sana wao mashetani wabaya kukudhuru na kuyaharibu vibaya maisha yako}
1470264778622.jpg
mshana jr alikuwa mlevi, kisha akapelekwa kuzimu
 
Li Mshana Jr utaliweza lilivyo taalam la miziziology?! Halafu vijana wa siku hizi hawajui kiswahili? Mara anaandika apa badala ya hapa, ata badala ya hata, anatha badala ya anasa kazi tunayo kwa kweli!
 
Back
Top Bottom