Mildotty
JF-Expert Member
- Jun 29, 2016
- 278
- 198
Hahaha daahLabda huyu jamaa yupo South Africa ametekwa na wale wazulu
Hahaha daahLabda huyu jamaa yupo South Africa ametekwa na wale wazulu
Nimerudii sasa tukae mkao wa kula
SafiiiiiiNimerudii sasa tukae mkao wa kula
Vipi huko South Africa imerudi salama?Nimerudii sasa tukae mkao wa kula
Karibu tenaNimerudii sasa tukae mkao wa kula
daah afadhali mkuu umerudi tenaNimerudii sasa tukae mkao wa kula
Iundwe sheria mtu akija na Riwaya aitume yote kwa moderators ikiisha ndipo Moderators wailete humu!
Iundwe sheria mtu akija na Riwaya aitume yote kwa moderators ikiisha ndipo Moderators wailete humu!
Kimya tena MbonaNimerudii sasa tukae mkao wa kula
Anazingua huyuKimya tena Mbona