Hadithi gani unapendekeza ingerudishwa katika vitabu vya shule ya msingi

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,465
Amani ya bwana iwe nanyi nyote!
Kwa wale tuliobahitika kusoma utawala wa awamu ya tatu kushuka chini,endapo ungepata fursa ya kutoa maoni ya kupendekeza hadithi zinazostahili kusomwa level ya primary ungependekeza hadithi gani?
Mimi ningeanza na SIKULAMBA SUKARI
Wewe je?...
 
Daudi mwana malevya bashite mwana malegeza
 
La la laa!, Maji yamekwenda kutembea, Sadiki na chitemo, Awafu mwenye nguvu in short vitabu vya zaman vilikuwa na uadithi nzuri sana
 
Back
Top Bottom