Hadithi: Bruno the Fisherman

Big up sana bro. Hujatuangusha. Nimejifunza kitu kimoja muhimu kwamba ili ufanikiwe ni lazima upitie changamoto kibao, but hupaswi kukata tamaa, kumtegemea Mungu ni kila kitu. Pia kutolipa kisasi kwa adui yako ni baraka tosha.!! Hakika Mungu anaweza.!!
 
naona nawewe moyo wakisasi umekutoka kwa jinsi ulivyokuwa umempanikia kulubule ni wazi kuwa story uliendelea kuisoma.

BTW mkuu kulubule shukrani sana na hadithi yako yenye mafunzo.
 
kilichoendea pale mimi nakijua,

kama sio kutafuta mtoto wa pili watayemuita bless ya baraka baada ya rehema za Mungu, lol.
 

Similar Discussions

15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom