Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,621
Asante ubarikiweNmemalizaaa
Asante ubarikiweNmemalizaaa
Barikiwa sana tulianza pamoja licha ya changamoto za hapa na pale lakini tumefika salama.Nmemalizaaa
Pamoja sanaBig up sana bro. Hujatuangusha. Nimejifunza kitu kimoja muhimu kwamba ili ufanikiwe ni lazima upitie changamoto kibao, but hupaswi kukata tamaa, kumtegemea Mungu ni kila kitu. Pia kutolipa kisasi kwa adui yako ni baraka tosha.!! Hakika Mungu anaweza.!!
Kipi hicho mkuuNimejifunza kitu
umeamua kurudi eeeh,me nilishasahauHatimaye imeisha
Cc Money Talk