Hadi sasa wote wanaopinga chanjo akiwemo Askofu Gwajima wanazungumza kwa nadharia tu

JOYOPAPASI

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
250
408
#JOSEPHAT #GWAJIMA ASICHEKEWE, ACHUKULIWE HATUA KALI Fuatana nami Niliyechanjwa Joseph #Yona

NI upuuzi, Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kauli wanazotoa wanasiasa wanaopinga chanjo, hasa wakiongozwa na Mbunge wa Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima, kwamba mtu ukichanjwa unakuwa #zombi au utakufa baada ya miaka miwili.

Kauli za wanasiasa hao nyingi ziko katika misingi ya kutisha watu sio kuleta uelewa mpana wa masuala ya chanjo kwa wananchi, mbaya zaidi iko katika mpango makhsusi wa kumkatisha tamaa Rais #Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa #Uviko-19.

Binafsi mimi ni mnufaika wa chanjo, nimechanja kwa HIARI yangu bila kushinikizwa na mtu yeyote, napata ukakasi pale ninapomuona kiongozi wa siasa na dini mwenye wafuasi wengi katika imani yake anatumia jukwaa hilo kuzungumzia chanjo na mbaya zaidi anawaambia WATU wasichanje, namfananisha na #Kibwetele.

#Gwajima na kundi lake wanapaswa kutambua wanachokifanya sio sahihi na kipo katika misingi mikuu miwili ya UHAINI, kwa kuwa wanamkwamisha Rais #Samia kutekeleza majukumu yake na pili wana ajenda ya siri juu ya taifa hili la kuleta mpasuko usiokuwa na sababu.

Kauli na matendo yao hayaakisi uhuru wa maoni, bali yako katika dhihaka na hata kugombanisha utawala na wananchi kwa kuwa kuanza kuhamasisha watu wasichanje sio jambo zuri na halina ahueni kwa nchi katika kuleta umoja.

Sapoti ndogo anayoipata kutoka kwa waumini wake wanaosali katika dhehebu lake, isiwe kigezo cha yeye kuamini kila mtu anamuamini na kumwona nabii kwenye mustakabali wa maisha yake kwa kuwa kuna watu wenye uelewa na sio mazwazwa kama anavyodhani.

Asitumie kigezo cha watu kuwafurahisha kama nyakati zake zile za #NaliamshaDude, ndio aamini kila mtu anamfuatilia na kupenda matamshi yake, kwa kuwa anachofanya hakina afya kwa umoja na mshikamano wa taifa.

Juhudi za dunia kudhibiti ugonjwa wa Uviko-19, zimeendelea kuenea duniani kote, baada ya mataifa kuanza kutoa chanjo zitakazowaweka wananchi wake salama dhidi ya maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa huo.

Tanzania ni miongoni mwa mataifa ambayo yamepokea chanjo kupitia mpango wa #Covax na wananchi wote nchini wanapokea kwa hiari, na hadi sasa hakuna ripoti za mtu aliyepata madhara baada ya kuchanja.

Hiyo inaonyesha kwamba chanjo ni salama na hazina madhara, jitihada zinahitajika zaidi kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa chanjo hiyo, ili watu waelewe zaidi kwanini ni muhimu kwao kuchanja na sio uwepo wa wanasiasa wasiokuwa na uelewa mpana wa masuala ya chanjo.

Kwa bahati nzuri, serikali imeweka bayana chanjo ni hiari ya mtu, anayetaka achanje na asiyetaka asichanje, kujitokeza kwa wanasiasa wasakatonge wanaoamini umaarufu na sio kusaidia wananchi ni jambo baya na lenye kuleta matatizo kwa jamii.

Kuanza kuwaelekeza watu namna ya kuishi ni jambo baya na anachofanya Gwajima ni uthibitisho tosha kuna kitu anachotafuta kwa kuwa serikali ilishatoa mwongozo thabiti sasa yeye anachokizungumza kila jumapili katika madhabau anataka afanyweje.

Jamii inapaswa kupewa elimu juu ya umuhimu wa chanjo ili kuongeza msukumo wa watu kwenda kuchanja kwa wanaotaka, watu waliochanja ndiyo waendelee kutoa elimu zaidi ya kuelimisha watu wengine juu ya umuhimu wa wao kuchanja chanjo hiyo.

Wakitimiza wajibu huo, watakuwa wamesaidia juhudi za serikali za kuelimisha jamii kuhusu kampeni ya kuchanja inayoendelea nchi nzima na mwishowe lengo la kulinda afya za Watanzania litakuwa limetimia na hata wapiga mbiu kama Gwajima watakuwa hawana hoja tena.

Kuendelea kuhamasisha watu wasichanje kwa madai chanjo zina madhara na kuendesha kampeni ya chanjo, ni kuwatia hofu wananchi na athari zake ni kushuka kwa uchumi na nchi itashindwa kusonga mbele na zaidi tutarudi nyuma.

Hadi sasa wote wanaopinga chanjo akiwemo Gwajima wanazungumza kwa nadharia tu bila kuwa na ushahidi wa kisayansi, kuhusu madhara ya chanjo ambayo yanaweza kuhatarisha maisha ya mtu anayepokea chanjo kwa kuwa watu wengi wamepokea chanjo na hakuna madhara aliyepata nikiwemo mie.

Taarifa nyingi za kisayansi katika majarida zimeeleza ubora wa chanjo ya #Johnson & #Johnson ambayo inatolewa nchini, kuwa ni salama sasa ni wakati wa kutowachanganya Watanzania na mwenye mahitaji ya chanjo aende akapate na sio vinginevyo.

Wanasiasa wasichukulie jambo hili kisiasa, kwa sababu linahitaji utaalamu wa kisayansi; wawaache wataalamu wafanye kazi yao kuendelea kutoa matamshi yasiyokuwa na ushahidi ni kuleta mpasuko katika jamii huku Gwajima anapaswa kufahamu kuropoka kwa kiongozi sio sifa njema au tuanze kuamini methali ya mgema akisifiwa tembo hulitia maji.
FB_IMG_1630339890569.jpg
 
Kwann kipengele namba nne, kinaondoa uhusika wa serikali ikiwa mtu atapatwa na maudhi /madhara baada ya Chanjo???

Muwajibu
 
Rais ile siku alisema, Chanjo hii unapigwa shot moja tu..

Je ndo ukweli huo???

Fomu inasema wazi, unapigwa mbili.

Muwajibu.
 
#JOSEPHAT #GWAJIMA ASICHEKEWE, ACHUKULIWE HATUA KALI Fuatana nami Niliyechanjwa Joseph #Yona

NI upuuzi, Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kauli wanazotoa wanasiasa wanaopinga chanjo, hasa wakiongozwa na Mbunge wa Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima, kwamba mtu ukichanjwa unakuwa #zombi au utakufa baada ya miaka miwili.

Kauli za wanasiasa hao nyingi ziko katika misingi ya kutisha watu sio kuleta uelewa mpana wa masuala ya chanjo kwa wananchi, mbaya zaidi iko katika mpango makhsusi wa kumkatisha tamaa Rais #Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa #Uviko-19.

Binafsi mimi ni mnufaika wa chanjo, nimechanja kwa HIARI yangu bila kushinikizwa na mtu yeyote, napata ukakasi pale ninapomuona kiongozi wa siasa na dini mwenye wafuasi wengi katika imani yake anatumia jukwaa hilo kuzungumzia chanjo na mbaya zaidi anawaambia WATU wasichanje, namfananisha na #Kibwetele.

#Gwajima na kundi lake wanapaswa kutambua wanachokifanya sio sahihi na kipo katika misingi mikuu miwili ya UHAINI, kwa kuwa wanamkwamisha Rais #Samia kutekeleza majukumu yake na pili wana ajenda ya siri juu ya taifa hili la kuleta mpasuko usiokuwa na sababu.

Kauli na matendo yao hayaakisi uhuru wa maoni, bali yako katika dhihaka na hata kugombanisha utawala na wananchi kwa kuwa kuanza kuhamasisha watu wasichanje sio jambo zuri na halina ahueni kwa nchi katika kuleta umoja.

Sapoti ndogo anayoipata kutoka kwa waumini wake wanaosali katika dhehebu lake, isiwe kigezo cha yeye kuamini kila mtu anamuamini na kumwona nabii kwenye mustakabali wa maisha yake kwa kuwa kuna watu wenye uelewa na sio mazwazwa kama anavyodhani.

Asitumie kigezo cha watu kuwafurahisha kama nyakati zake zile za #NaliamshaDude, ndio aamini kila mtu anamfuatilia na kupenda matamshi yake, kwa kuwa anachofanya hakina afya kwa umoja na mshikamano wa taifa.

Juhudi za dunia kudhibiti ugonjwa wa Uviko-19, zimeendelea kuenea duniani kote, baada ya mataifa kuanza kutoa chanjo zitakazowaweka wananchi wake salama dhidi ya maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa huo.

Tanzania ni miongoni mwa mataifa ambayo yamepokea chanjo kupitia mpango wa #Covax na wananchi wote nchini wanapokea kwa hiari, na hadi sasa hakuna ripoti za mtu aliyepata madhara baada ya kuchanja.

Hiyo inaonyesha kwamba chanjo ni salama na hazina madhara, jitihada zinahitajika zaidi kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa chanjo hiyo, ili watu waelewe zaidi kwanini ni muhimu kwao kuchanja na sio uwepo wa wanasiasa wasiokuwa na uelewa mpana wa masuala ya chanjo.

Kwa bahati nzuri, serikali imeweka bayana chanjo ni hiari ya mtu, anayetaka achanje na asiyetaka asichanje, kujitokeza kwa wanasiasa wasakatonge wanaoamini umaarufu na sio kusaidia wananchi ni jambo baya na lenye kuleta matatizo kwa jamii.

Kuanza kuwaelekeza watu namna ya kuishi ni jambo baya na anachofanya Gwajima ni uthibitisho tosha kuna kitu anachotafuta kwa kuwa serikali ilishatoa mwongozo thabiti sasa yeye anachokizungumza kila jumapili katika madhabau anataka afanyweje.

Jamii inapaswa kupewa elimu juu ya umuhimu wa chanjo ili kuongeza msukumo wa watu kwenda kuchanja kwa wanaotaka, watu waliochanja ndiyo waendelee kutoa elimu zaidi ya kuelimisha watu wengine juu ya umuhimu wa wao kuchanja chanjo hiyo.

Wakitimiza wajibu huo, watakuwa wamesaidia juhudi za serikali za kuelimisha jamii kuhusu kampeni ya kuchanja inayoendelea nchi nzima na mwishowe lengo la kulinda afya za Watanzania litakuwa limetimia na hata wapiga mbiu kama Gwajima watakuwa hawana hoja tena.

Kuendelea kuhamasisha watu wasichanje kwa madai chanjo zina madhara na kuendesha kampeni ya chanjo, ni kuwatia hofu wananchi na athari zake ni kushuka kwa uchumi na nchi itashindwa kusonga mbele na zaidi tutarudi nyuma.

Hadi sasa wote wanaopinga chanjo akiwemo Gwajima wanazungumza kwa nadharia tu bila kuwa na ushahidi wa kisayansi, kuhusu madhara ya chanjo ambayo yanaweza kuhatarisha maisha ya mtu anayepokea chanjo kwa kuwa watu wengi wamepokea chanjo na hakuna madhara aliyepata nikiwemo mie.

Taarifa nyingi za kisayansi katika majarida zimeeleza ubora wa chanjo ya #Johnson & #Johnson ambayo inatolewa nchini, kuwa ni salama sasa ni wakati wa kutowachanganya Watanzania na mwenye mahitaji ya chanjo aende akapate na sio vinginevyo.

Wanasiasa wasichukulie jambo hili kisiasa, kwa sababu linahitaji utaalamu wa kisayansi; wawaache wataalamu wafanye kazi yao kuendelea kutoa matamshi yasiyokuwa na ushahidi ni kuleta mpasuko katika jamii huku Gwajima anapaswa kufahamu kuropoka kwa kiongozi sio sifa njema au tuanze kuamini methali ya mgema akisifiwa tembo hulitia maji.View attachment 1916878
Rubbish
 
Gwajima anaendelea kuhoji..

Ukichanjwa, ni yapi madhara ya muda mfupi, muda wa kati, muda mrefu, na kwa vizazi???

Kwann hizi chanjo uko Ulaya awali zilikua hazitolewi kwa ambao hawajabalehe /kuvunja ungo??
 
Na maswali mengi kama hayooo

Anahoji.... Mtu yuleyule alosema Chanjo hazifai, ndan ya miezi mitano ilofata, anasema hazifai

Nin ni nn???
 
Anahoji kama wanasiasa wasiliingie kwa sababu linahitaj sayansi...

Mbona hiyo sayansi imeshindwa kuyajibu maswali yake???

Anaenda mbali, anaomba Man to Man show

Nyie hamtaki......

hata serikali kusema ni hiari ni kwa sababu imezingatia mwelekeo wa watu wengi na kwamba ni asilimia ndogo hufa wakipata korona. Lakini ingeweza kulazmisha chanjo kwa sababu ina uhakika na sayansi ya chanjo. wengi wanaopinga chanjo wanajikita kwenye dhahania na imani potofu tena wagumu kuelewa.
 
Ivo badala ya kupambana na akina Gwajima na kuingilia Imani zao..

Muwajibuni ivoivo kisayansi, muwashawishi huenda wakatumia Uhiyari wao Kuchanjwa.
 
Wanataka tuingie Mkenge kama walioungia wao

Walio chanja hawana option, tusio chanja bado tuna option ya kuchanja au kutochanja

Asie chanja mwisho wa mjadala wa chanjo anaweza kuamua kuchanja au kutochanja

Aliekwisha chanja baada ya mjadala akagundua chanjo hazifai anafanyaje?
Kwann walochanjwa, wanalazimisha watu wengine wachanjwe???
Muwajibu
 
Anahoji kama wanasiasa wasiliingie kwa sababu linahitaj sayansi...

Mbona hiyo sayansi imeshindwa kuyajibu maswali yake???

Anaenda mbali, anaomba Man to Man show

Nyie hamtaki......

Muwajibu
Ni sawa tu maana inakuwa kama debate, mfano, kama tukisema sayansi imeleta madhara zaidi kuliko faida kila atakayekubali au kukataa atakuwa na hoja zake. katika hili kila upande una hoja lakini ukweli upo tu kwamba chanjo ni muhimu.
Kibaya kwa wanaopinga ni visingizio kwa wanaowaita mabeberu eti wana malengo mabaya. Ukimsikiliza Gwajima na Polepole wote wamejikita huko.
utaona tu unafiki wao hawaachi kujitia wanampongeza rais huku wanampinga wazi wazi. ni unafiki uliopitiliza
 
Wanataka tuingie Mkenge kama walioungia wao

Walio chanja hawana option, tusio chanja bado tuna option ya kuchanja au kutochanja

Asie chanja mwisho wa mjadala wa chanjo anaweza kuamua kuchanja au kutochanja

Aliekwisha chanja baada ya mjadala akagundua chanjo hazifai anafanyaje?
Ukisikia Roho mbaya ndo hiyo

Unakuta mtoa mada anamiaka 28 tu.
 
Ni sawa tu maana inakuwa kama debate, mfano, kama tukisema sayansi imeleta madhara zaidi kuliko faida kila atakayekubali au kukataa atakuwa na hoja zake. katika hili kila upande una hoja lakini ukweli upo tu kwamba chanjo ni muhimu.
Kibaya kwa wanaopinga ni visingizio kwa wanaowaita mabeberu eti wana malengo mabaya. Ukimsikiliza Gwajima na Polepole wote wamejikita huko.
Ina muhimu ndio.

Ila Askofu wangu ndio keshasema watu wake hamna kuchanjwa.

Nielimishe sasa, unitoe huko kwenye imani, unilete kwenye sayansi ..ukizingatia miezi mitano ilopita..wewe mwenyewe uliniambia CHANJO HAZIFAI.

Nishawishi sasa .
 
#JOSEPHAT #GWAJIMA ASICHEKEWE, ACHUKULIWE HATUA KALI Fuatana nami Niliyechanjwa Joseph #Yona

NI upuuzi, Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kauli wanazotoa wanasiasa wanaopinga chanjo, hasa wakiongozwa na Mbunge wa Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima, kwamba mtu ukichanjwa unakuwa #zombi au utakufa baada ya miaka miwili.

Kauli za wanasiasa hao nyingi ziko katika misingi ya kutisha watu sio kuleta uelewa mpana wa masuala ya chanjo kwa wananchi, mbaya zaidi iko katika mpango makhsusi wa kumkatisha tamaa Rais #Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa #Uviko-19.

Binafsi mimi ni mnufaika wa chanjo, nimechanja kwa HIARI yangu bila kushinikizwa na mtu yeyote, napata ukakasi pale ninapomuona kiongozi wa siasa na dini mwenye wafuasi wengi katika imani yake anatumia jukwaa hilo kuzungumzia chanjo na mbaya zaidi anawaambia WATU wasichanje, namfananisha na #Kibwetele.

#Gwajima na kundi lake wanapaswa kutambua wanachokifanya sio sahihi na kipo katika misingi mikuu miwili ya UHAINI, kwa kuwa wanamkwamisha Rais #Samia kutekeleza majukumu yake na pili wana ajenda ya siri juu ya taifa hili la kuleta mpasuko usiokuwa na sababu.

Kauli na matendo yao hayaakisi uhuru wa maoni, bali yako katika dhihaka na hata kugombanisha utawala na wananchi kwa kuwa kuanza kuhamasisha watu wasichanje sio jambo zuri na halina ahueni kwa nchi katika kuleta umoja.

Sapoti ndogo anayoipata kutoka kwa waumini wake wanaosali katika dhehebu lake, isiwe kigezo cha yeye kuamini kila mtu anamuamini na kumwona nabii kwenye mustakabali wa maisha yake kwa kuwa kuna watu wenye uelewa na sio mazwazwa kama anavyodhani.

Asitumie kigezo cha watu kuwafurahisha kama nyakati zake zile za #NaliamshaDude, ndio aamini kila mtu anamfuatilia na kupenda matamshi yake, kwa kuwa anachofanya hakina afya kwa umoja na mshikamano wa taifa.

Juhudi za dunia kudhibiti ugonjwa wa Uviko-19, zimeendelea kuenea duniani kote, baada ya mataifa kuanza kutoa chanjo zitakazowaweka wananchi wake salama dhidi ya maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa huo.

Tanzania ni miongoni mwa mataifa ambayo yamepokea chanjo kupitia mpango wa #Covax na wananchi wote nchini wanapokea kwa hiari, na hadi sasa hakuna ripoti za mtu aliyepata madhara baada ya kuchanja.

Hiyo inaonyesha kwamba chanjo ni salama na hazina madhara, jitihada zinahitajika zaidi kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa chanjo hiyo, ili watu waelewe zaidi kwanini ni muhimu kwao kuchanja na sio uwepo wa wanasiasa wasiokuwa na uelewa mpana wa masuala ya chanjo.

Kwa bahati nzuri, serikali imeweka bayana chanjo ni hiari ya mtu, anayetaka achanje na asiyetaka asichanje, kujitokeza kwa wanasiasa wasakatonge wanaoamini umaarufu na sio kusaidia wananchi ni jambo baya na lenye kuleta matatizo kwa jamii.

Kuanza kuwaelekeza watu namna ya kuishi ni jambo baya na anachofanya Gwajima ni uthibitisho tosha kuna kitu anachotafuta kwa kuwa serikali ilishatoa mwongozo thabiti sasa yeye anachokizungumza kila jumapili katika madhabau anataka afanyweje.

Jamii inapaswa kupewa elimu juu ya umuhimu wa chanjo ili kuongeza msukumo wa watu kwenda kuchanja kwa wanaotaka, watu waliochanja ndiyo waendelee kutoa elimu zaidi ya kuelimisha watu wengine juu ya umuhimu wa wao kuchanja chanjo hiyo.

Wakitimiza wajibu huo, watakuwa wamesaidia juhudi za serikali za kuelimisha jamii kuhusu kampeni ya kuchanja inayoendelea nchi nzima na mwishowe lengo la kulinda afya za Watanzania litakuwa limetimia na hata wapiga mbiu kama Gwajima watakuwa hawana hoja tena.

Kuendelea kuhamasisha watu wasichanje kwa madai chanjo zina madhara na kuendesha kampeni ya chanjo, ni kuwatia hofu wananchi na athari zake ni kushuka kwa uchumi na nchi itashindwa kusonga mbele na zaidi tutarudi nyuma.

Hadi sasa wote wanaopinga chanjo akiwemo Gwajima wanazungumza kwa nadharia tu bila kuwa na ushahidi wa kisayansi, kuhusu madhara ya chanjo ambayo yanaweza kuhatarisha maisha ya mtu anayepokea chanjo kwa kuwa watu wengi wamepokea chanjo na hakuna madhara aliyepata nikiwemo mie.

Taarifa nyingi za kisayansi katika majarida zimeeleza ubora wa chanjo ya #Johnson & #Johnson ambayo inatolewa nchini, kuwa ni salama sasa ni wakati wa kutowachanganya Watanzania na mwenye mahitaji ya chanjo aende akapate na sio vinginevyo.

Wanasiasa wasichukulie jambo hili kisiasa, kwa sababu linahitaji utaalamu wa kisayansi; wawaache wataalamu wafanye kazi yao kuendelea kutoa matamshi yasiyokuwa na ushahidi ni kuleta mpasuko katika jamii huku Gwajima anapaswa kufahamu kuropoka kwa kiongozi sio sifa njema au tuanze kuamini methali ya mgema akisifiwa tembo hulitia maji.View attachment 1916878
Masikini umetumwa na waziri mzigo asiyeelewa nini maana ya kusimama na taaluma tangu mwanzo hadi mwisho?

Miezi miwili sasa dozi ya chanjo milioni moja haijaisha bado mpaka mtaenda kuchanja wanyama isije ikawadodea maana inaisha kazi yake Septemba 2021.

Watu wako tayari kukatwa vichwa kwa kukataa chanjo wewe unaendelea kupiga kelele zisizo na tija mpaka sasa?

Kama kuna watu wako tayari kufa kwa kukataa chanjo je, mamlaka inayoona wananchi wake wanaenda kuchinjwa kwa kukataa chanjo yenye maswali lukuki na changamoto zisizo na majibu huyo kweli ni mfariji wa taifa?
 
#JOSEPHAT #GWAJIMA ASICHEKEWE, ACHUKULIWE HATUA KALI Fuatana nami Niliyechanjwa Joseph #Yona

NI upuuzi, Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kauli wanazotoa wanasiasa wanaopinga chanjo, hasa wakiongozwa na Mbunge wa Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima, kwamba mtu ukichanjwa unakuwa #zombi au utakufa baada ya miaka miwili.

Kauli za wanasiasa hao nyingi ziko katika misingi ya kutisha watu sio kuleta uelewa mpana wa masuala ya chanjo kwa wananchi, mbaya zaidi iko katika mpango makhsusi wa kumkatisha tamaa Rais #Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa #Uviko-19.

Binafsi mimi ni mnufaika wa chanjo, nimechanja kwa HIARI yangu bila kushinikizwa na mtu yeyote, napata ukakasi pale ninapomuona kiongozi wa siasa na dini mwenye wafuasi wengi katika imani yake anatumia jukwaa hilo kuzungumzia chanjo na mbaya zaidi anawaambia WATU wasichanje, namfananisha na #Kibwetele.

#Gwajima na kundi lake wanapaswa kutambua wanachokifanya sio sahihi na kipo katika misingi mikuu miwili ya UHAINI, kwa kuwa wanamkwamisha Rais #Samia kutekeleza majukumu yake na pili wana ajenda ya siri juu ya taifa hili la kuleta mpasuko usiokuwa na sababu.

Kauli na matendo yao hayaakisi uhuru wa maoni, bali yako katika dhihaka na hata kugombanisha utawala na wananchi kwa kuwa kuanza kuhamasisha watu wasichanje sio jambo zuri na halina ahueni kwa nchi katika kuleta umoja.

Sapoti ndogo anayoipata kutoka kwa waumini wake wanaosali katika dhehebu lake, isiwe kigezo cha yeye kuamini kila mtu anamuamini na kumwona nabii kwenye mustakabali wa maisha yake kwa kuwa kuna watu wenye uelewa na sio mazwazwa kama anavyodhani.

Asitumie kigezo cha watu kuwafurahisha kama nyakati zake zile za #NaliamshaDude, ndio aamini kila mtu anamfuatilia na kupenda matamshi yake, kwa kuwa anachofanya hakina afya kwa umoja na mshikamano wa taifa.

Juhudi za dunia kudhibiti ugonjwa wa Uviko-19, zimeendelea kuenea duniani kote, baada ya mataifa kuanza kutoa chanjo zitakazowaweka wananchi wake salama dhidi ya maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa huo.

Tanzania ni miongoni mwa mataifa ambayo yamepokea chanjo kupitia mpango wa #Covax na wananchi wote nchini wanapokea kwa hiari, na hadi sasa hakuna ripoti za mtu aliyepata madhara baada ya kuchanja.

Hiyo inaonyesha kwamba chanjo ni salama na hazina madhara, jitihada zinahitajika zaidi kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa chanjo hiyo, ili watu waelewe zaidi kwanini ni muhimu kwao kuchanja na sio uwepo wa wanasiasa wasiokuwa na uelewa mpana wa masuala ya chanjo.

Kwa bahati nzuri, serikali imeweka bayana chanjo ni hiari ya mtu, anayetaka achanje na asiyetaka asichanje, kujitokeza kwa wanasiasa wasakatonge wanaoamini umaarufu na sio kusaidia wananchi ni jambo baya na lenye kuleta matatizo kwa jamii.

Kuanza kuwaelekeza watu namna ya kuishi ni jambo baya na anachofanya Gwajima ni uthibitisho tosha kuna kitu anachotafuta kwa kuwa serikali ilishatoa mwongozo thabiti sasa yeye anachokizungumza kila jumapili katika madhabau anataka afanyweje.

Jamii inapaswa kupewa elimu juu ya umuhimu wa chanjo ili kuongeza msukumo wa watu kwenda kuchanja kwa wanaotaka, watu waliochanja ndiyo waendelee kutoa elimu zaidi ya kuelimisha watu wengine juu ya umuhimu wa wao kuchanja chanjo hiyo.

Wakitimiza wajibu huo, watakuwa wamesaidia juhudi za serikali za kuelimisha jamii kuhusu kampeni ya kuchanja inayoendelea nchi nzima na mwishowe lengo la kulinda afya za Watanzania litakuwa limetimia na hata wapiga mbiu kama Gwajima watakuwa hawana hoja tena.

Kuendelea kuhamasisha watu wasichanje kwa madai chanjo zina madhara na kuendesha kampeni ya chanjo, ni kuwatia hofu wananchi na athari zake ni kushuka kwa uchumi na nchi itashindwa kusonga mbele na zaidi tutarudi nyuma.

Hadi sasa wote wanaopinga chanjo akiwemo Gwajima wanazungumza kwa nadharia tu bila kuwa na ushahidi wa kisayansi, kuhusu madhara ya chanjo ambayo yanaweza kuhatarisha maisha ya mtu anayepokea chanjo kwa kuwa watu wengi wamepokea chanjo na hakuna madhara aliyepata nikiwemo mie.

Taarifa nyingi za kisayansi katika majarida zimeeleza ubora wa chanjo ya #Johnson & #Johnson ambayo inatolewa nchini, kuwa ni salama sasa ni wakati wa kutowachanganya Watanzania na mwenye mahitaji ya chanjo aende akapate na sio vinginevyo.

Wanasiasa wasichukulie jambo hili kisiasa, kwa sababu linahitaji utaalamu wa kisayansi; wawaache wataalamu wafanye kazi yao kuendelea kutoa matamshi yasiyokuwa na ushahidi ni kuleta mpasuko katika jamii huku Gwajima anapaswa kufahamu kuropoka kwa kiongozi sio sifa njema au tuanze kuamini methali ya mgema akisifiwa tembo hulitia maji.View attachment 1916878

Ukijadili suala la chanjo ya corona ukacha kutilia maanani suala la Kiroho ulisha shindwa kabla ya kuanza. Kama chanjo ni hiari mbona mnapiga kelele kuhamasisha watu wakachanje? Kibaya chajitembeza kizuri chajiuza.

Chanjo ni hiari wataalamu walishauri hivyo. Lakini viongozi wetu wanasema hawalazimishi mtu kuchwanjwa maana chanjo ni hiari. Lakini ukimuangalia usoni unacho kiona ni unafiki, unafiki na unafiki tena, hivi kweli huyu naye anamaanisha analoliongea!!!?
Kwasababu moyo wake haujajazwa na huo uhiari bali kulazimishana kijanja janja.

Huo uhiari ungezingatiwa usingemsikia Polepole wala Gwajima wakiongelea wanayo ongelea.

Kiongozi anaye hamasisha watu wakachanjwe hapo hamna tatizo ila anaye watahadharishwa watu wasichanjwe inakuwa ni nogwa. Double standard katika ubora wake. Na CPF/ IGP hakukosea tatizo hili liko katika nyanja kadhaa.

Kuna ugumu gani kuelewa duniani iko viganjani mwa watu na ni suala la kuamua tu kujua yanayo jiri duniani?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom