Hadi sasa wageni 182 wamegunduliwa na Corona kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya. Visa vyafikia 963

Lazima mpimwe, baozi kaja kuwatekenya kwa kuwaita pumba za undugu na mavitu ambayo mnapenda kuydskia kwenye huo mfumo wenu wa kipuzi wa ujamaa, wala hata sijamskliza naona comments za watu na kujua kasema yale yale hamna jipya....lakini liko pale pale lazima mpimwe mkienda kwenye jirani yenu yeyote maana kwenu mumekua kitovu cha corona.
Ningeshangaa kama angethubutu kuturubuni kwa kusema atalegeza msipimwe....
Haya sasa imesikia Rais wenu kampigia simu Magufuli na kumwomba wayamalize?
Tulikwambia madereva wetu wataruhusiwa tu bila visingizio vya corona!
 
Yaani ije itokee Watanzania wataingia Kenya bila kupimwa kisa kulialia kwenu huko, yaani Kenya ibadilishe kauli kwamba hawatapimwa, na wawe wanaingia tu kutuambukiza watakavyo, yaani kuanzia hiyo siku nabadilisha mtazamo wangu na kuwa hasi kwa kila kitu kitakachomhusu huyu rais wetu. Nitachukia sana.......nitatoa tamko humu hiyo siku.

Haiwezekani akayatia maisha yetu rehani na kuendana na upuzi wa kwenu wa kuogopa corona na kufukia vichwa ardhini kisa umaskini wenu. Lazima azingatie maisha ya Wakenya kwanza zaidi ya chochote kingine.
Yeye kumpigia rais wenu simu sioni cha ajabu maana ninavyomfahamu ni mwanadiplomasia wa hali ya juu, huwa hanyanyui mapumbu kwa kila kitu, atawakuna na kuwapa hizo hisia za utamu wa kukunwa ilmradi muache kulialia, lakini kipimo lazima kibaki pale pale, kama vipi waje mpakani wataalam wenu waungane na wa kwetu wawe wanapima wote pamoja.

Ninachojua na kutegema ni kwamba hawa madereva, wa kwetu na kwenu lazima waambukizwe corona wengi maana wanaishi maisha ya kulala kwenye magesti ambayo unakuta malazi na mashuka hufuliwa labda hata mara moja kwa wiki, unaingia gesti ukiwa mlevi haujali nani kalala humo jana, unajiachia na lichangudoa lako humo, maisha yao huwa yamo hatarini, hivyo sioni kikubwa kuskia wakitajwa wengi kuwa na corona.
Lakini lazima wapimwe na wapimwe tena na tena.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uoni kama nyie ni watu wa ajabu!
Madereva wanatoka Tz wazima wa afya, wanadunda vizuri. Mpakani mnawapima na kuwaita wana korona. Wanarudi Tz wako fresh na maisha yanaendelea bila wasiwasi.

Nyie mnajifungia ndani na kuhesabu visa vya Korona. Idadi inaongezeka badala ya kupungua! Kibaya zaidi hamjui lini Korona itaisha! Dunia yote waachana na kujifungia! Yaani hata Trump anawazidi akili.

Lock down inaonekana ndiyo strategy mnayoiamini Kama mlivyofanya Mombasa Na sehemu za Naiorobi. Wanasayansi makini wameshaonya lockdown inapunguza immunity, kwa hiyo ikiisha watu watashambuliwa zaidi na corona. Lakini lingine kwa mazingira ya waafrika it's not practicable. Si mjifunze na kuwasikiliza wanaoandamana hapo hapo Kenya!
Tumejifungia ndani sehemu gani ya nchi?
 
Back
Top Bottom