Haya sasa imesikia Rais wenu kampigia simu Magufuli na kumwomba wayamalize?Lazima mpimwe, baozi kaja kuwatekenya kwa kuwaita pumba za undugu na mavitu ambayo mnapenda kuydskia kwenye huo mfumo wenu wa kipuzi wa ujamaa, wala hata sijamskliza naona comments za watu na kujua kasema yale yale hamna jipya....lakini liko pale pale lazima mpimwe mkienda kwenye jirani yenu yeyote maana kwenu mumekua kitovu cha corona.
Ningeshangaa kama angethubutu kuturubuni kwa kusema atalegeza msipimwe....
Tulikwambia madereva wetu wataruhusiwa tu bila visingizio vya corona!