Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 985
- 1,656
Wakina Shigella wanabwabwaja wakati wenzetu(Kenya) Internatinally wanatupiga Kisayansi tukija kustuka watalii wote mawahamia Kenya,hawa jamaa wanaangalia mbele sana. Wewe hupimi na unaitangazia international Community kwamba maambukizi yameisha na watu waje kutalii,mwenzio anapima sample space(madereva)kutoka kwako na kuitngazia International Community kwamba una kiwango kikubwa cha maambukizi kwasababu haufuati WHO guidiline.