Hadi sasa wageni 182 wamegunduliwa na Corona kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya. Visa vyafikia 963

Foreigners imekuwa euphemism. Yaani hapo wanamaanisha watanzania 182 wakutwa na Corona. Wakenya wameona isiwe tabu, ugomvi wa nini, cha muhimu ni kuwazuia tu kuingia.
 
Tukiwataja mnalia sana, ila nimekumbuka nafikiri inampa aibu mkulu wenu maana yeye kasema corona imeisha Tanzania, na pia nimesoma sehemu RC wa Dar amesema siku ya jumapili mpige makelele Tanzania yote kwa shangwe na vigelegele kwamba mumeishinda corona,ujuha ulokubuhu, sasa tukiibuka na namba eti Watanzania 78 wamegunduliwa kuwa na corona, mara Watanzania 51, hii kwa kweli inapaka doa wakuu wenu.

Ndio nimeelewa sasa kwanini mna hasira hivi, pia ikumbukwe mnakwenda kwenye uchaguzi, hamtaki doa lolote, nahisi baada ya uchaguzi ndio mtaungana na dunia dhidi ya corona, ila kwa sasa muendelee kwa mwendo huo wa kujificha.

Dah... yani na kelele zote zile ndio mmetia mpira kwapani mapema hivi kabla hata mechi haijaanza?

Tunamtaka alieanzisha hii choko choko ajitokeze aimalize mwenyewe, sio awashe moto halafu akimbie. Akuje hapa aongee.. asingizie hata alikuwa amelewa ndio maana aliropoka fresh tu,
 
Chokochoko ipi, lazima mpimwe huo ndio mwendo, hayo ya kuona kwamba kupimwa ni chokochoko ni nyie wenyewe tu, ni kama ujikute umemkasirkia mtu mishipa inakutoka na povu kutiririka ila yeye wala hana ugomvi na hujampa sababu za kuwa mgomvi, yeye anakupa masharti na maagizo kwa njia yenye utulivu, hivyo utapasuka na hasira zako ila sheria zake lazima uzifuate kama zilivyo.
 
Fahamu sisi hatufany tukiwa na nia ya blinking na sijui mavitu gani hayo mnajitesa bure, tunapima kila anayeingia Kenya, nyie ndio mkipimwa mnang'aka, mnang'ang'ania muingie kwenye nchi za watu bila kupimwa, kule Zambia mumepiga makelele, Rwanda vile vile, yaani mnasumbua majirani wote.
Kama mumejichokea kwa umaskini na kuogopa kupima hampaswi mtuletee umaskini wenu, lazima mfuate masharti. Mwisho wa siku balozi wetu huko amewakosha kwa kuwaita ndugu lakini lazima mpimwe, hakijabadilika kitu, hivyo kama hiyo blinking imewakuna na kuwatekenya basi chekeni na kufurahia ila kipimo kiko pale pale.
Hivi pale kibera huna ndugu kweli ??
 
Mwenye njaa hawezi kutunga sheria hata siku moja. Sana sana atakuwa anajizungusha zungusha tu na kujichanganya ovyo. Hawezi kuwa na msimamo na kukisimamia kile anachokiamini. Ni kama kinyonga...Muda uhsaanza kudhihirisha hili.
 
Out of 214 positive Covid-19 cases detected at the Kenya-Tanzania border 182 are foreigners and have been turned back, Health CS Kagwe says. Citizen TV Kenya on Twitter
Kama Vifaa tunavyo vya kupima covid-19 kwanini tusiwapime wanaojiandaa kuvuka mipaka yetu kabla hawajafika huko. 'from behind-the-scenes, we do not have covid-19 testing Gadgets on our borders'
 
Fahamu sisi hatufany tukiwa na nia ya blinking na sijui mavitu gani hayo mnajitesa bure, tunapima kila anayeingia Kenya, nyie ndio mkipimwa mnang'aka, mnang'ang'ania muingie kwenye nchi za watu bila kupimwa, kule Zambia mumepiga makelele, Rwanda vile vile, yaani mnasumbua majirani wote.
Kama mumejichokea kwa umaskini na kuogopa kupima hampaswi mtuletee umaskini wenu, lazima mfuate masharti. Mwisho wa siku balozi wetu huko amewakosha kwa kuwaita ndugu lakini lazima mpimwe, hakijabadilika kitu, hivyo kama hiyo blinking imewakuna na kuwatekenya basi chekeni na kufurahia ila kipimo kiko pale pale.
Issue siyo kupimwa...issue ni ajenda yenu ya kuichafua Tanzania kwa lengo la faida za kiuchumi ikiwemo kuua utalii...Sasa mtakula jeuri na unyang'au wenu...lazima mfyate mikia yenu mirefu..you will regret...tumeona clip za wananchi ambao wako lockdown huko kwenu..wanalalamika kuhusu chakula...wengine wanasema chakula mnagawa usiku...bila Shaka wewe huna shida ya chakula..unapata ili uwe na nguvu kuendesha propaganda mitandaoni against TZ ...but your fellow Kenyans are dying ..it is.just a matter of time hizo riots zihamie mitaani...mtajuta...JPM siyo JK..Mtaipata...ambassador wenu ameleta ujumbe huku...lazima mpige magoti huku mikia yenu mmeifyata....You are talking of poverty in Tanzania and you forget your poverty...uliwahi kuona wapi TZ kuna nyumba za mabox Kama kwenu kibera etc?
.
 
Pliz educate me the meaning of blinking. What the ambassador did was to make it clear to all Tz coz what was being reported is Kenya has closed borders with Tz which wasn't the case. 2ndly see the way we are tackling issues very professional and diplomatic but for u guys even the president they are making roadside declaration.......it defeats the mind
 
Kwanini sisi hatupimi? Tuliambiwa marekebisho ya Maabara yanafanyika, je yanafanyika hadi lini? Au ndiyo imeshatoka kwamba Tanzania hakutakuwa na TESTING tena na ndiyo tunaaminishwa kwamba Mungu kasikia sala zetu hivyo corona imepungua sana au TUMESHAISHINDA!?

Serikali yetu ingewapima tena ili tufahamu kama kenya wanatuhujumu au lah, binafsi sina imani na kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fahamu sisi hatufany tukiwa na nia ya blinking na sijui mavitu gani hayo mnajitesa bure, tunapima kila anayeingia Kenya, nyie ndio mkipimwa mnang'aka, mnang'ang'ania muingie kwenye nchi za watu bila kupimwa, kule Zambia mumepiga makelele, Rwanda vile vile, yaani mnasumbua majirani wote.
Kama mumejichokea kwa umaskini na kuogopa kupima hampaswi mtuletee umaskini wenu, lazima mfuate masharti. Mwisho wa siku balozi wetu huko amewakosha kwa kuwaita ndugu lakini lazima mpimwe, hakijabadilika kitu, hivyo kama hiyo blinking imewakuna na kuwatekenya basi chekeni na kufurahia ila kipimo kiko pale pale.
Haya nyei matajiri endeleeni kupima tuu hamna shida mkuu MK254.
 
Back
Top Bottom