Hadi sasa tovuti ya CHADEMA imepambwa na picha ya Lowassa

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Baada shughuli zangu za kutekeleza ilani ya CCM niliingia kwenye tovuti ya CHADEMA ili angalau nione kama wana mkakati wowote mpya. ''Ajizi nyumba ya njaa'' tovuti hiyo imepambwa na picha ya Lowassa akiwaamuru ''makamanda'' wazungushe mikono ili kupata mabadiliko. Baada tafakuri nikagundua kumbe hata maamuzi ya Mbowe kuwaamuru makamanda kususia uchaguzi wa serikali za mitaa yanatokana na yanayoakisi kwenye Tovuti yao.

1574083670183.png

Huenda hadi leo Chadema inaongozwa na maelekezo kutoka ofisi ya Lowassa iliyopo mikocheni. Vituko haviishi kwenye tovuti ''makamanda'' bado wanalaghaiwa na kutapeliwa eti wachangie safari ya ''ukombozi''.

Naomba mjadili kwa utulivu acheni jazba.
 
View attachment 1265915

Kuna kuna tatizo? Au iwekwe yako?
 
Ata tovoti ya ikulu update yake uwa inachelewa sana kiufupi tuna tatizo kwenye technology karibu kwenye taasisi zote Tanzania.
 
Hivi ile list ya mafisadi papa , Bado ipo kwenye website ya CHADEMA?

Ila chadema ni walaghai sana , Na wapo kwa ajiri ya matumbo na maslahi yao sio wananchi kama wanavyojitapa.

Waliutumia UKAWA kama kichaka cha kuvuna kura za kuongeza Ruzuku na wabunge ,
 
Chama kilisha watimuwa wana siasa mlio wanunuwa mnapiga bomu muchwari mnasema mmeuwa..............!
Inaelekea chadema wanamapa heshima picha yake kuwepo maana nafsi yake ipo chadema Ila Mungu wa John na Daud...........
 
Lowassa , waitara , walitimuliwa lini chadema

Roma nayeye ni muongo tu
 
Hivi ile list ya mafisadi papa , Bado ipo kwenye website ya CHADEMA?

Ila chadema ni walaghai sana , Na wapo kwa ajiri ya matumbo na maslahi yao sio wananchi kama wanavyojitapa.

Waliutumia UKAWA kama kichaka cha kuvuna kura za kuongeza Ruzuku na wabunge ,
Hawawezi kukujibu zaidi ya matusi
 
Kuhusiana na ilo la picha ta Lowassa kuwa front kabisa kwa web page ni swala la kimkataba. Ondoa picha yake urudishe 30% ya ada aliyoingilia katika chama ambayo roughly ni kama 345 Milioni Tsh ya ada nzima.
 
Kumbe ni biashara?
 
Ndugu zangu,

Baada shughuli zangu za kutekeleza ilani ya CCM niliingia kwenye tovuti ya CHADEMA ili angalau nione kama wana mkakati wowote mpya. ''Ajizi nyumba ya njaa'' tovuti hiyo imepambwa na picha ya Lowassa akiwaamuru ''makamanda'' wazungushe mikono ili kupata mabadiliko. Baada tafakuri nikagundua kumbe hata maamuzi ya Mbowe kuwaamuru makamanda kususia uchaguzi wa serikali za mitaa yanatokana na yanayoakisi kwenye Tovuti yao.

View attachment 1265915

Huenda hadi leo Chadema inaongozwa na maelekezo kutoka ofisi ya Lowassa iliyopo mikocheni. Vituko haviishi kwenye tovuti ''makamanda'' bado wanalaghaiwa na kutapeliwa eti wachangie safari ya ''ukombozi''.

Naomba mjadili kwa utulivu acheni jazba.
Asante Kaka Mkubwa Wakudadavua, kiukweli bidii yako naikubali sana, kama ni watu wa shukrani watakushukuru sana,
P
 
Back
Top Bottom