Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Baada shughuli zangu za kutekeleza ilani ya CCM niliingia kwenye tovuti ya CHADEMA ili angalau nione kama wana mkakati wowote mpya. ''Ajizi nyumba ya njaa'' tovuti hiyo imepambwa na picha ya Lowassa akiwaamuru ''makamanda'' wazungushe mikono ili kupata mabadiliko. Baada tafakuri nikagundua kumbe hata maamuzi ya Mbowe kuwaamuru makamanda kususia uchaguzi wa serikali za mitaa yanatokana na yanayoakisi kwenye Tovuti yao.
Huenda hadi leo Chadema inaongozwa na maelekezo kutoka ofisi ya Lowassa iliyopo mikocheni. Vituko haviishi kwenye tovuti ''makamanda'' bado wanalaghaiwa na kutapeliwa eti wachangie safari ya ''ukombozi''.
Naomba mjadili kwa utulivu acheni jazba.