Hadi sasa sioni kwanini upinzani unadhani unastahili kuongoza taifa...

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
Ukichukulia kama maisha yao ya ndani ya chama kama ni modal ya kile watakachokionyesha kiuongozi unapata kizunguzungu...

Wanakazi ya Ziad ya kufanya, wako sio chini tu ya kiwango Bali nje kabisa ya viwango....

Kuungumbatia udhaifu huu ni kutetea ujima karne ya 21.

Bora CCM waendelee hadi wapinzan watakapojipambanua na kuwa mshindani sahihi wa mbio za kukamata dola....
 
Katibu Mwenezi wa MACCM anaujua ukweli na yeye hana maono kama ya kwako. Jiongeze Mkuu acha kudumaza akili yako kwenye ule mtaa wa wanaojua kusoma na kuandika tu.

Hivi wewe uvccm,maisha yenu ya ndani ya chama yana ubora gani na uzuri gani,au u model gani mnaotuonyesha kiuongozi zaidi ya bwana wenu kuwafundisha kutukana,kudhalilisha watu,na kutumia mabavu akisadiwa na policcm kutawala nchi !

Mbona mnatumia mitutu kila eneo la nchi kutisha watu,kama mnajiamini mpo safi ndani ya chama ? Kila leo,kamata huyu fungal huyu shitaki huyu, yote haya ya nini kama nyie maisha yenu ndani ya chama ni model
ya kile mnachotuonysha sasa kwenye utawala wenu ! Nyie mnatumwa huku kwenye mitandao muandike ujinga tuwajibu
Kinachowafaa,ili mtuteke na kutung'oa
Macho na kucha.tuacheni Jamani,toshekeni tu na ambayo mmesha wa athiri ! Mnapoendelea kumchokoza maskini akikata tamaa,haoni shida kukiacha kibanda chake cha tope ! Hii ni kwa akiba tu ya maneni.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

....Ikiwa wameongoza since independence na kila siku mkulu anasema nchi imeoza kila mahali, waongoze tena how many years? Mia?
 
Katibu Mwenezi wa MACCM anaujua ukweli na yeye hana maono kama ya kwako. Jiongeze Mkuu acha kudumaza akili yako kwenye ule mtaa wa wanaojua kusoma na kuandika tu.

Haya maoni yake kwa sababu anazozifahamu yeye. Mkuu unamjibu mjumbe wa tume ya katiba au mleta mada.
 
Hivi wewe uvccm,maisha yenu ya ndani ya chama yana ubora gani na uzuri gani,au u model gani mnaotuonyesha kiuongozi zaidi ya bwana wenu kuwafundisha kutukana,kudhalilisha watu,na kutumia mabavu akisadiwa na policcm kutawala nchi !

Mbona mnatumia mitutu kila eneo la nchi kutisha watu,kama mnajiamini mpo safi ndani ya chama ? Kila leo,kamata huyu fungal huyu shitaki huyu, yote haya ya nini kama nyie maisha yenu ndani ya chama ni model
ya kile mnachotuonysha sasa kwenye utawala wenu ! Nyie mnatumwa huku kwenye mitandao muandike ujinga tuwajibu
Kinachowafaa,ili mtuteke na kutung'oa
Macho na kucha.tuacheni Jamani,toshekeni tu na ambayo mmesha wa athiri ! Mnapoendelea kumchokoza maskini akikata tamaa,haoni shida kukiacha kibanda chake cha tope ! Hii ni kwa akiba tu ya maneni.
Sijaona ulichoandika kama kinaendana na ninachodhani. Bali umekusanya malalamiko yako yote na kuyatupa hapo Bila kuhariri kipi kinafaa au hakifai. Pia mimi sio UVCCM ni mwananchi kama wewe ambae niko huru kuona mambo katika kona zote ila ninakubalian na utawala uliopo sasa kwa kiwango kikubwa. Kama Kuna mtu analipa watu kuandika maoni yao basi ndio namsikia kwako.
 
Kwani niliyemquote ni nani? Wapinzani hawastahili kuongoza nchi na hapo hapo katiba mpya ya rasimu ya Warioba mnaigwaya Tume huru ya uchaguzi mnaigwaya na kung'ang'ania kitengo chenu cha wizi wa kura na chaguzi wenyewe mnakiita Tume ya uchaguzi.

Haya maoni yake kwa sababu anazozifahamu yeye. Mkuu unamjibu mjumbe wa tume ya katiba au mleta mada.
 
Ukichukulia kama maisha yao ya ndani ya chama kama ni modal ya kile watakachokionyesha kiuongozi unapata kizunguzungu...

Wanakazi ya Ziad ya kufanya, wako sio chini tu ya kiwango Bali nje kabisa ya viwango....

Kuungumbatia udhaifu huu ni kutetea ujima karne ya 21.

Bora CCM waendelee hadi wapinzan watakapojipambanua na kuwa mshindani sahihi wa mbio za kukamata dola....
Hapo umeweka porojo tu kwasababu huajonyesha udhaifu huo unaosema.anyways hongera kwa kupost
 
....Ikiwa wameongoza since independence na kila siku mkulu anasema nchi imeoza kila mahali, waongoze tena how many years? Mia?
Ukichukulia kwa juujuu hata mimi nitaomba leo uchaguzi ufanyike na hata lisu awe kiongozi.
Ukizama kidogo tu utagundua
Nchi yote ilikuwa CCM kabla ya 1992 hadi nyimbo ziliimbwa mashuleni.
Wapinzani walijimegua kutoka CCM kupinga mienendo yake kitu ambacho sio kibaya
Sasa tunapost 1992 wanaupinzani ambao ni walikuwa CCM Kati ya 1992_2017 sio mbaya pia ila nao wanajumuika na wewe kuongea kwa lugha za kuilaumu ccm kwa mambo waliyoshiriki.
Bado sio shida Shida ni kutaka uchaguliwe kushika Dola kwa sababu miaka ya nyuma CCM ilikosea wakati huohuo CCM wanasema ni kweli tulikosea na CCM kama katika Misingi yake haikukosea ila wanaccm wachache wametufikisha hapa na wanatangaza mabadiliko kufuta kile ambacho kimeleta matatizo. Sasa ni kichekesho katika mazingira hayo kuona mpinzani anataka kushika dola kwa vigezo ambavyo mwenzako anavisahihisha. Ndio maana nasema bado hawatoshi walipaswa kutuambia wanaleta nini sio ccm iliwahi kukosea wakati inajidahihisha
 
Kuna liccm limeshika cm yangu darasani,lika like hili badiko la kijinga la li yuviccm,nalisaka,nikilipata
Litajuta kua lianachama la chama cha matekaji na majambazi !
 
Ila mwananchi usiye na msaada kwa wananchi wengine,kwa kuipigia ccm chepuo kiaina kwakua unajua haikubaliki popote na yeyote duniani.kulalamika ni lazima kwa ajili ya maonevu ya ccm ,sio kwa maskini,tajiri,mgonjwa, wote tunaopumua tunatakiwa kuishi kama mashetani !

Kinachoshangaza hata hii kauli ya unayempigia chepuo hukuisikia ! mmmh,Haya.
 
Back
Top Bottom