sanjomnyama
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 261
- 160
Wakuu habari zenu, jaman Mimi nimemaliza kidato cha 4(form4) mwaka jana2015 hivyo nikaamua Ku apply UDOM kozi ya (Medical laboratory Technology) in Diploma;mwezi wa 8 tare 10 mwaka huu (2016)na maombi niliombea pale pale Chuoni lakn kwa njia ya mtandao sasa hadi leo hawajanijibu chochote nikiangalia kwa Website yao hamna chochote.
Ushauri wadau naombeni mnisaidie kwa hili nifanyaje
Ushauri wadau naombeni mnisaidie kwa hili nifanyaje