mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
1. Wahadhiri
Hawa ni wasomi na walimu wa wasomi wa elimu ya juu. Ni watu wenye uwezo mkubwa kiakili. Wamejielekeza kwenye tafiti. Utafiti usio rasmi unaonyesha mapungufu makubwa ya wasomi hawa ni ukweli kwamba hawajui uhalisia wa mengi wanayofundisha, na wenda kwenye field kuna utofauti mkubwa na nadharia za darasani na kwenye makaratasi.
2. Walio katika Utendaji wa Utaalamu wao
Hawa pia ni watu wenye uwezo. Wanaweza kuwa bora kuliko hata wale waalimu wao. Wanajua kila kinachoendelea katika field kwa uhalisia sio makaratasi. Ila ubora wao unapimwa na juhudi zao za kujiendeleza na kutafuta maarifa mapya katika eneo lao la utaalamu.
3. Waliomitaani Wamemaliza lakini hawana Uzoefu wowote au wanafanya kazi wasizosomea
Hawa wanauelewa wa mambo mengi lakini huwa hawana ujasiri linapokuja suala la kutetea walichokisomea mbele ya watu wa makundi mawili hapo juu.
4. WASOMI ambao hawajapitia SHULE
Hawa wanauwezo mkubwa sana na wanaweza kujiendeleza kwenda kwenye field yoyote.
Wengi huwa wanavipaji vya kuzaliwa. Na ndio wengi waanzilishi wa mengi ambayo yanasomwa na makundi matatu hapo juu ukiwaangalia kwa mtazamo wa dunia.
Nini maoni yako? Hivyo ndivyo nionavyo!