MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Kwa maoni yangu kwa kizazi hiki cha karne hii zama za mtu kuwa na uhakika wa ushindi kwa Kigezo cha chama zinakwenda zinapungua na muda sio mrefu zitaisha kabisa. Hitaji kubwa ni mtu au watu, waliojaribiwa kwa jaribu hata dogo na kuonekana wanafaa kwa viwango vyao.
Hii hali ya kuilaumu tume, sioni kama ni kichaka tosha cha kujifichia kama wananchi wakiamua kwa dhati kumpa mgombea yoyote ushindi wa kishindo. Badala ya kujenga chama wajengwe watu wenye Uwezo wa kuongea na kutenda sio Uwezo wa kujenga hoja tu.
Kilichofanyika Gambia siamini kama tume ilikuwa huru ila maamuzi ya watu yalikuwa mazito kuliko Uwezo wagombea na Tume. Tuache siasa nyepesi, Tanzania inahitaji watu wenye Uwezo mkubwa wa kufikiri, kutenda na kujieleza Kitaifa na kimataifa katika vyama vyote. Hatuhitaji ushindi wa chadema, ukawa au wapinzani au CCM Bali ushindi wa MTU mwenye Uwezo kwa kuisukuma nchi hii angalau sentimita moja.
Huku ndiko siasa za kizazi hiki zielekezwe. Vijana badala ya kushinda mitandaoni kupiga siasa maandishi wajielekeze kujijengea Uwezo wa kubadili maisha yao na jamii sio kwa maneno tu Bali Vitendo. Philadelphia miaka hiyo walipohitaji kiongozi hawakutafuta muongeaji mzuri ashindanishwe Bali alitafutwa mwanaume Franklin maana historia ya maisha maneno na matendo yake pamoja na kuwa hana pesa sana lakini yalionekana kila kiunga cha mji.
We are running short of industrious politicians