Hadi sasa, idadi ya madereva wa Tanzania waliogunduliwa kuwa na Corona na kuzuiwa kuingia Kenya, imefikia 78

Apo kwenye kurudishwa ndo uwa sipa elewi ..wana rudishwa under care au ni una pandishwa gari lako una ambiwa urudi Bongo

Dark Side

Wanarudi walikotoka watajua wenyewe cha kufanya maana huko hamna juhudi zozote walishajichokea na kukata tamaa.
 
Yaani hapa tumejinasua kutoka kwenye kinywa cha mamba, wote hao 78 walikua wanang'ang'ania kuingia Kenya na kirusi, kisha wajichanganye humu, kila mmoja wa hao angeambukiza Wakenya kama watano hivi, hao watano waambukize mbele na mtandao uendelee kuzagaa na kutamalaki.

Tunashukuru sana serikali kwa kuwa wakali, japo kiaina kuna taarifa za Watanzania wengine kuingia ingia Kenya bila taratibu za kupimwa, maafisa wetu wa usalama wanaoruhusu hili wajue wanarubuni maisha ya Wakenya.

Kwa sasa Tanzania kwao huko walishafanya maamuzi ya kujichokea na kukata tamaa kwenye hivi vita vya dhidi ya corona, nahisi ni kwa sababu wanaelekea kwenye uchaguzi na chama tawala aidha kinahisi kitakosa ajenda za kujitetea kwa wananchi, kikijaribu kufungia wananchi wasisongamane kwenye vilabu vya pombe ni kujiponza na kujinyima kura.

Ndio maana wameamua yote ruksa...labda baada ya uchaguzi ndio wataanza kuchukua maamuzi magumu maana hawatakua na cha kupoteza tena, ila kwa sasa hata hotuba za mkulu wao zinaonyesha hasira balaa akiwa huko kijijini alikokwenda miezi kadhaa sasa.

========================

Kenya has closed its borders with Somalia and Tanzania as the country strives to stem further spread of the coronavirus.
In a televised address to the nation on Saturday, President Uhuru Kenyatta said he was imposing more measures after it emerged that some of the cases had crossed the border from Tanzania and Somalia.

"If we do not take additional precautionary measures and get even more serious in implementing existing guidelines, the number of people who will get sick and die is going to rise sharply,” said President Kenyatta.

The decree, effective Saturday midnight, does not affect cargo vehicles.

The move, unprecedented in the history of the East African Community's 20-year existence, came as Kenya said it had blocked 78 truck drivers from Tanzania from entering the country.

The President also announced that the number of Covid-19 cases in the country had risen to 830 after 49 more people tested positive.

Kenya shuts Somalia, Tanzania borders over virus

Wangempa majukumu Paul Makonda asaidiane na wataalamu wa afya na awe mwenyekiti wa kamati ya wakuu wa mikoa ya kuidhibiti na kupambana na janga hili huu utopolo usingekuwepo, Barakoa lazima kila mahali kila muda wote, usimamizi wa kutosha, bar zifuatliwe kwenye social distance na barakoa, kwenye usafiri, hakuna vijiwe, hakuna umazoea na etc. pia tuwambiwe endepo tukajifungia ndani virus watakuwa wako wapi, walikujaje, na wataondokaje maana hii habari ya chanjo manaake ujifungie usijifungie virus wapo na wale virus wa mafua na kikohozi kabla ya huyu corona wameenda wapi au ndio wale wale ila Sasa wamebadilika, haieleweki kbsa.
 
Makonda tena😷
 
.... hawa jamaa wapo kwenye hatari kubwa sana, yaani 78 kwa siku moja tu, bora hata wasipime huko kwao maana ni dhahiri wakianza kutangaza watapanic vibaya sana.
Mkuu, mbona ni kma vile unatuonea huruma wakati sisi wala hatuoni tatizo? Kama inatuathiri sisi tu na tumeridhika, kwa nini unalazimisha ushauri?
 
Kondoo wenu hata kudai haki zao hawajitambui.

I love kenyan spirit.

A land of burning spear.
nawewe unaishi wapi

kwani hulianzishi siku moja,hata mke mwenzenu mange mlishindwa kumuunga mkono,mkaishia kutuliza matako ndani.
 
Mkuu, mbona ni kma vile unatuonea huruma wakati sisi wala hatuoni tatizo? Kama inatuathiri sisi tu na tumeridhika, kwa nini unalazimisha ushauri?
corona imashindwa Tanzani,kama masikhara.

wapo wajinga wanafosi ionekane ni balaa lakini waapi.
 
nawewe unaishi wapi

kwani hulianzishi siku moja,hata mke mwenzenu mange mlishindwa kumuunga mkono,mkaishia kutuliza matako ndani.
Polisi wote waliandana nchi nzima. A great achievement.
 
Kondoo wenu hata kudai haki zao hawajitambui.

I love kenyan spirit.

A land of burning spear.
tazama video uone wakenya wanalalamika.
amia tanzania kuna fursa nyiingi na maisha sio magumu kama kenya.
kenya polisi wanaiba mali za wananchi. wananchi wa kenya wanalalamika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom