Hadi sasa bado sijaona Mbowe alichokifanya awamu hii mpaka aendelee kuwa Mwenyekiti Chadema

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,805
Najua ukweli mchungu lakini tukatae tukubali awamu hiii Mbowe pamoja na wenzake hakuna alililolifanya zaidi kuita vyombo vya habari na kuzungumza zaidi ni kulalamika hebu tuwe tuvute picha tangu 2005 tumalize uchaguzi mambo 10 aliyofeli Mbowe akiwa kama Mwenyekiti

1. Maandamano ya ukuta 2016

2. Maandamano ya kata funua 2016

3. Hoja ya kudai katiba mpya 2017

4. Hoja ya kususia uchaguzi wa majimbo ya longido,singida magharibi,arumeru kisha kuwalubuni wenzao tutaenda mahakamani kupata haki alafu hakwendaa.

5. Ameshidwa kutetea na kupigania tundu lissu kuvuliwa na nassari kuvuliwa ubunge kisha kushidwa kutetea stahiki zao

6. Wabunge na madiwani wa chadema kuhamia CCM huku chama kikizidi kukuputika.

7. Kususia uchaguzi wa serikali ya mitaa 2019 ili kuiruhusu CCM ipite kwa kishindo au bila kupigwa

8. Ofisi za chadema kufugwaa mikoani

9. Viongozi wa Chadema kujiuzulu kuhamia CCM

10. Chadema kupoteza ushawishi

Mwisho kabisa nasema Mbowe kafeli awamu hii chama amuachie mtemi mwingine kukiongoza
 
Sawa si amechoka sawa,Chadema tumeipenda wenyewe acha ituue,na ninyi mnaopenda ife mkanunue pepsi bigi ili muone inavyozama lakin ninyi ndo wa kwanza kuweweseka.Aibu hii
 
Mbowe anaogopa hadi amejiuguza kutafuta kura za huruma

Akiondoka mbowe chadema itakuwa yenye nguvu zaidi ya hii ,CCM haipendi kuona inakuwa na wapinzani dhaifu kama chadema hii

State agent
 
Mbowe anaogopa hadi amejiuguza kutafuta kura za huruma

Akiondoka mbowe chadema itakuwa yenye nguvu zaidi ya hii ,CCM haipendi kuona inakuwa na wapinzani dhaifu kama chadema hii

State agent
basi msiwanunue msiwazuie kuongea
 
Najua ukweli mchungu lakini tukatae tukubali awamu hiii Mbowe pamoja na wenzake hakuna alililolifanya zaidi kuita vyombo vya habari na kuzungumza zaidi ni kulalamika hebu tuwe tuvute picha tangu 2005 tumalize uchaguzi mambo 10 aliyofeli Mbowe akiwa kama Mwenyekiti

1. Maandamano ya ukuta 2016

2. Maandamano ya kata funua 2016

3. Hoja ya kudai katiba mpya 2017

4. Hoja ya kususia uchaguzi wa majimbo ya longido,singida magharibi,arumeru kisha kuwalubuni wenzao tutaenda mahakamani kupata haki alafu hakwendaa.

5. Ameshidwa kutetea na kupigania tundu lissu kuvuliwa na nassari kuvuliwa ubunge kisha kushidwa kutetea stahiki zao

6. Wabunge na madiwani wa chadema kuhamia CCM huku chama kikizidi kukuputika.

7. Kususia uchaguzi wa serikali ya mitaa 2019 ili kuiruhusu CCM ipite kwa kishindo au bila kupigwa

8. Ofisi za chadema kufugwaa mikoani

9. Viongozi wa Chadema kujiuzulu kuhamia CCM

10. Chadema kupoteza ushawishi

Mwisho kabisa nasema Mbowe kafeli awamu hii chama amuachie mtemi mwingine kukiongoza
Wewe ni nani? Upofu mliowekwa mnadhani mnaweza kuonna kweli? Kabla hujafikiri mambo yaliyokuzidi kimyo jiulize tu hao wapuuzi walioteuliwa ambao kila kukicha wanafanya maroroso ya kumfurahisha mteule ni jambo gani walilofanya kwa jamii hadi waendelee kukalia ofisi za uma? By the way ikiwa uongozi wa Bwana Mbowe ni mbovu kwanini mnaoumia zaidi ni makada wa CCM? Pambaneni na hali zenu,na msaidieni mwenyekiti wa chama chenu kutimiza ilani ya chama badala ya kurukia mambo yasiyowahusu!
 
Needless even to read. Wewe ingefaa ukajali mambo ya chama chenu kilichoishiwa nguvu na sasa kubaki kukongojwa na vyombo vya usalama vilivyopoteza mwelekeo. Bure sana.
 
Back
Top Bottom