Hadi msiba uishe tutaona mengi..tupia maneno kwenye hizi picha

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
378
huyu jamaa anasikiliza nini?
34.jpg
 
HAPO nCHIMBI ALIKUWA TUNGI mbaya, hadi macho yanamsuta!
Isije kuwa naye anatumia Jack Daniels!

PJ jamani tuko kwenye msiba si ungesubiri tumalize msiba? Maana tukionekana tunacheka kiasi hiki msibani tutaonekana wote tumetokea Bwagamoyo kumbe walah!
 
Back
Top Bottom