Hadi lini atleast kila m -tz atafaidika na elimu yetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hadi lini atleast kila m -tz atafaidika na elimu yetu?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Emwaay, Jul 21, 2012.

 1. E

  Emwaay Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ilivyo ada tunaelewa elimu ndo kila ki2, japo kuna wahun wanasema eti hela ndo kila kitu,ambapo ni SAWA NA MATUSI YA MATAWI DHIDI YA SHINA kigezo menyewe yanaonekana zaidi ila hayana nguvu na mzazi ni shina.tuulizane hadi lini mtanzania wa kawaida atakuwa na elimu ya kimaendeleo,mapinduzi,utambuzi na kiharakati?
   
 2. S

  Slaker JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  May b 2kirud awamu ya 2,baada ya hii dunia Kuangamia thn 2kifufuka xaxa na hope mambo yatakuwa mazuri mkuu.....bt 4 ths session ya 1 neva neva
   
Loading...