Hadi leo Tanzania haikujifunza chochote upatikanaji wa muaji wa padre Erinest Mushi wa Zanzibar

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Kwa wale waliosahau ni kwamba baada ya mauaji ya padre mushi wataalamu ambao sikumbuki walitoka nchi gani walifika eneo la tuki wakapata maelekezo na kumchora muuaji fasta.Tena kwa uwakika kabisa wakaruhusu kutolewa kwa mchoro magazetini.Kupitia mchoro akapatikana, sijui kesi iliishia wapi.

Sasa swali linanzia hapa baada ya hapo mbona sijaona watanzania wakiwapeleka vijana wao shule kokote duniani kujifunza hii elimu?
au bado wako masomoni?

Maana kuna mauaji mengi mno mno, hawa jamaa wangeweza tusadia mfano;

R.I.P. Mdogo wa Bilionea Msuya
Yule mtoto angewaeleza wachoraji wangetufyatua picha wauaji.

Amka Tanzania!
 
crime scene investigation ,sio rahisi...kuona maiti deile lol....km medicine unatakiwa uwe na roho ngumu haswaa....
 
Back
Top Bottom