white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,314
- 13,279
kwanini?neno kuwajibika limekuwa ni msamiati mgumu sana kwa viongozi we2u!pale linapotokea tatizo yeye akiwa kama kiongozi,mv bukoba iliua watu zaidi ya 800,train watu zaidi ya 250,mabasi ndio usiseme kabisa! Mabomu mbagara,gongolamboto na sasa mv spice islander watu zaidi ya 200!lakini husikii mtu anawajibika/kuwajibika!kwani japani ambao kila leo mawaziri wakuu wanajiuzuru sisi wanashindwa nini?na kwa majanga haya yote hamna kiongozi aliyejiuzuru!tusahau kabisa kama kuna janga ambalo litampelekea m2u kujiuzuru.kweli tanzania ni zaidi ya uijuavyo,na ni wanafiki kweli kwenye misiba.Bora tuanze kuwa tunawakataza kuhudhuria kwenye majanga yanapotokea.