hadi kufikia sasa nimeamini kweli tz hatuna viongozi!!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,277
13,212
kwanini?neno kuwajibika limekuwa ni msamiati mgumu sana kwa viongozi we2u!pale linapotokea tatizo yeye akiwa kama kiongozi,mv bukoba iliua watu zaidi ya 800,train watu zaidi ya 250,mabasi ndio usiseme kabisa! Mabomu mbagara,gongolamboto na sasa mv spice islander watu zaidi ya 200!lakini husikii mtu anawajibika/kuwajibika!kwani japani ambao kila leo mawaziri wakuu wanajiuzuru sisi wanashindwa nini?na kwa majanga haya yote hamna kiongozi aliyejiuzuru!tusahau kabisa kama kuna janga ambalo litampelekea m2u kujiuzuru.kweli tanzania ni zaidi ya uijuavyo,na ni wanafiki kweli kwenye misiba.Bora tuanze kuwa tunawakataza kuhudhuria kwenye majanga yanapotokea.
 
Viongozi wenyewe wote ni mafisadi ndio maana hawajali kabisa maslahi ya Tanzania na Watanzania wanachojali ni kujilimbikizia mali kwa fujo ili washindane nani ana mabilioni mengi kuliko mwingine. Pamoja na ongezeko kubwa la makusanyo ya kodi lakini asilimia kubwa ya kodi hizo hazitumiki katika kuboresha maisha ya Watanzania ikiwemo kuhakikisha vyombo vya usafiri vinakuwa na usalama zaidi kwa wasafiri. Ukiwa unasafiri ndani ya nchi yetu saa zote roho iko mkononi kwa wasiwasi wa kupata ajali.
 
kwanini?neno kuwajibika limekuwa ni msamiati mgumu sana kwa viongozi we2u!pale linapotokea tatizo yeye akiwa kama kiongozi,mv bukoba iliua watu zaidi ya 800,train watu zaidi ya 250,mabasi ndio usiseme kabisa! Mabomu mbagara,gongolamboto na sasa mv spice islander watu zaidi ya 200!lakini husikii mtu anawajibika/kuwajibika!kwani japani ambao kila leo mawaziri wakuu wanajiuzuru sisi wanashindwa nini?na kwa majanga haya yote hamna kiongozi aliyejiuzuru!tusahau kabisa kama kuna janga ambalo litampelekea m2u kujiuzuru.kweli tanzania ni zaidi ya uijuavyo,na ni wanafiki kweli kwenye misiba.Bora tuanze kuwa tunawakataza kuhudhuria kwenye majanga yanapotokea.
<br />
<br />
Angalau na wewe leo umeanzisha thread. Hongera sana mzee? Tehe the tehe tehe tehe tehe tehe
 
maisha ya mtanzania hayana thamani hata kidogo. kama vile ambavyo hakuna uwajibikaji kwenye mambo ya afya na services delivering ndivyo na sekta ya usafiri ilivyo. wasimamiaji wote wamevunjika moyo kwa sababu hakuna awajibikaye! hata ukiweka nguvu sehemu moja huko kwingine hakuna kitu. hili ni tenga lililooza,samaki sijui watakuwa na hali gani!
 
Kiongozi atawajibika vipi wakati janga halijamgusa? Hawana uchungu na Watanzania.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom