hadi kufikia sasa nimeamini kweli tz hatuna viongozi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hadi kufikia sasa nimeamini kweli tz hatuna viongozi!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Sep 18, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  kwanini?neno kuwajibika limekuwa ni msamiati mgumu sana kwa viongozi we2u!pale linapotokea tatizo yeye akiwa kama kiongozi,mv bukoba iliua watu zaidi ya 800,train watu zaidi ya 250,mabasi ndio usiseme kabisa! Mabomu mbagara,gongolamboto na sasa mv spice islander watu zaidi ya 200!lakini husikii mtu anawajibika/kuwajibika!kwani japani ambao kila leo mawaziri wakuu wanajiuzuru sisi wanashindwa nini?na kwa majanga haya yote hamna kiongozi aliyejiuzuru!tusahau kabisa kama kuna janga ambalo litampelekea m2u kujiuzuru.kweli tanzania ni zaidi ya uijuavyo,na ni wanafiki kweli kwenye misiba.Bora tuanze kuwa tunawakataza kuhudhuria kwenye majanga yanapotokea.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,549
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  Viongozi wenyewe wote ni mafisadi ndio maana hawajali kabisa maslahi ya Tanzania na Watanzania wanachojali ni kujilimbikizia mali kwa fujo ili washindane nani ana mabilioni mengi kuliko mwingine. Pamoja na ongezeko kubwa la makusanyo ya kodi lakini asilimia kubwa ya kodi hizo hazitumiki katika kuboresha maisha ya Watanzania ikiwemo kuhakikisha vyombo vya usafiri vinakuwa na usalama zaidi kwa wasafiri. Ukiwa unasafiri ndani ya nchi yetu saa zote roho iko mkononi kwa wasiwasi wa kupata ajali.
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Angalau na wewe leo umeanzisha thread. Hongera sana mzee? Tehe the tehe tehe tehe tehe tehe
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  maisha ya mtanzania hayana thamani hata kidogo. kama vile ambavyo hakuna uwajibikaji kwenye mambo ya afya na services delivering ndivyo na sekta ya usafiri ilivyo. wasimamiaji wote wamevunjika moyo kwa sababu hakuna awajibikaye! hata ukiweka nguvu sehemu moja huko kwingine hakuna kitu. hili ni tenga lililooza,samaki sijui watakuwa na hali gani!
   
 5. f

  fau60. Member

  #5
  Sep 18, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah..!! kaka iyo ndo Tanzagiza.
   
 6. f

  fau60. Member

  #6
  Sep 18, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kungekua na usajil kwa mkopo kwenda nchi jilan ngekua wa 1.
   
 7. firstcollina

  firstcollina JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kaka nimeipenda sana hii... nadhani mimi ningeomba tu kusajiliwa nje hata kama hakutakuwa na mshahara.......
   
 8. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  na mm ningefuata
   
 9. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Kiongozi atawajibika vipi wakati janga halijamgusa? Hawana uchungu na Watanzania.
   
Loading...