Hadaa hii ni wizi wa Mtandao BOT, TCRA mpo wapi?

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
Nani mtetezi wa haki za walaji huduma za mitandao,

Vodacom wameweka vihuduma vingi vya wizi. Unamkopesha mlaji huduma muda wa maongezi mfano 2500 atalipa ada 500 ,20%!!!; punde akiongeza salio ambapo mara nyingi ni haitozidi juma moja!
Hawa wanatengeneza faida ya kufuru na kwa kuwa walaji wengi wanaelimu duni na uwezo mdogo wengi wanadhani mitandao inawajali.

Tafadhali TCRA,BOT, na wadau walaji amkeni wasaidieni walaji wanaibiwa sana kwa hadaa.
Screenshot_20191230-175737.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani mtetezi wa haki za walaji huduma za mitandao,

Vodacom wameweka vihuduma vingi vya wizi. Unamkopesha mlaji huduma muda wa maongezi mfano 2500 atalipa ada 500 ,20%!!!; punde akiongeza salio ambapo mara nyingi ni haitozidi juma moja!
Hawa wanatengeneza faida ya kufuru na kwa kuwa walaji wengi wanaelimu duni na uwezo mdogo wengi wanadhani mitandao inawajali.

Tafadhali TCRA,BOT, na wadau walaji amkeni wasaidieni walaji wanaibiwa sana kwa hadaa.View attachment 1307563

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu TTCL kumenoga!
 
Voda wapumbavu sana,nimeenda kutoa mpesa buku 5,wamekata 950,,huu si uwizi kabisa,,,,,
 
Back
Top Bottom