Had i know!!!!

TATA PANYA

Member
Jul 26, 2013
54
7
why msichana unamfuata na kumweleza yote ya moyoni na kutaka awe wife to be!!! lakini anazingua, baada ya kuona hana mpango na wewe ukaamua kupotezea,God akakujalia ukampata unayempenda anayekupenda, ghafla yule dame anakujia tena na kuanza kukusumbua!! wakati wewe upo na manzi wako na anakuambia alijuaga unatania

UTAMJIBUJE HUYO MANZI!!!?
 
Unamwambia kweli ulikuwa unamtania,ila kwa uliyenaye uko serious akae mbali nanyi.
 
mwambie akae mbali na wew mkuu, ukimchekea mtu wa hvyo hakawii kumfuata hata huyo mke uliyenae na kuanza kuleta unafk wake.
 
na wewe unakata tamaa mapema mno. Ultaka ukubaliwe kirahisi?
 
Ndio maana wanaume wengi wakiambiwa NO wanasikia YES kichwani.
why msichana unamfuata na kumweleza yote ya moyoni na kutaka awe wife to be!!! lakini anazingua, baada ya kuona hana mpango na wewe ukaamua kupotezea,God akakujalia ukampata unayempenda anayekupenda, ghafla yule dame anakujia tena na kuanza kukusumbua!! wakati wewe upo na manzi wako na anakuambia alijuaga unatania

UTAMJIBUJE HUYO MANZI!!!?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom