Hack FB account

ekitaly

Member
Nov 24, 2013
11
1
Kuna mtu anataka kunifunga kwa ushahidi wa fb text. Wadau nisaidieni nawejaze kuhack account yake nifute huo ushahidi.
Thanks.
 
Kuna mtu anataka kunifunga kwa ushahidi wa fb text. Wadau nisaidieni nawejaze kuhack account yake nifute huo ushahidi.
Thanks.


aahh??!! bana, hilo dogo mbona.
huyu inaelekea mtakuwa mnaelewana huyu. muwinde siku yupo kef, mnunulie juisi ya ukwaju. hawezi kataa. akitoka kwenda kukojoa tu, hapohapo--ingia kwene komputa yake, futa meseji. hiyo imekaaje...
 
Ingia Pm nikupe email yangu then nikuambie jinsi ya kutatua tatizo lako dogo kabisa ila itakuwa ni business
 
Ha ha ha ha ha ha haaaaaaah, kama vipi mfikishe mabwepande mng'oe meno manne, mawili ya chini na mawili ya juu, akirudi atafuta mwenyewe tu
 
Yani wewe usiaangaike sana,
.
1= M block kwenye profile yako,
2= Deactivate account yako.

Most of hackers watakudanganya tu
.
wanatumia scripts kidies hakuna hacking bila programming language.
.
 
Back
Top Bottom