Habiba Kawawa afariki Dar

Kamanda

Senior Member
Dec 5, 2007
150
176
Jamani ndugu zangu wanaJamii Forums. Nimepokea taarifa za kifo cha mtoto wa Simba wa Vita- Rashid Mfaume Kawawa, Habiba Kawawa.

Habiba ambaye alikuwa kipenzi cha Mzee Kawawa, amefariki Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jioni hii ambako alikuwa amelazwa kwa matatizo ya uzazi.

Habiba alikuwa ameolewa na Maleko wakiishi Tegeta, jirani na Tegeta Bynight.

Nitawaletea zaidi baadaye.

Bwana ametoa. Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe.
 
Pole kwa wafiwa na mungu awape nguvu wakati wa majonzi...kazi ya mungu haina makosa.
 
Maskini... what a tragedy in the family.

Mwenyezi Mungu Ailaze Pahala Pema Peponi Roho Ya Marehemu. Amina.

Steve Dii
 
RIP Habiba! She is going down just as another statistics. Our current maternal mortality is around 600 deaths per every 100000 live births, one highest in the world. Women need NOT die from pregnancy. Sad indeed!
 
Huyu ni yupi? yule aligombea NEC ya ccm?

R.I.P......! Kazi ya mungu haina makosa!
 
RIP Habiba! She is going down just as another statistics. Our current maternal mortality is around 600 deaths per every 100000 live births, one highest in the world. Women need NOT die from pregnancy. Sad indeed!

RIP habiba, nafikiri nilikuwa namfahamu, kama sikosei................ very sad
 
Tupo pamoja kwenye wakati huu mgumu kwa familia ya mzee kawawa
 
M Mungu amsamehe makosa yake na amuweke mahali pema .

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=d3ctskomyHg[/ame]
 
R.I.P da' Habiba..Pole sana kwa familia ya Kawawa,Mungu awatie nguvu katika wakati huu mgumu sana kwenu,Amina
 
Hivi si ndio walikuwa wanajiandaa kufanya arobaini wa baba yao au ishafanyika? Sad news RIP mama
 
RIP HABIBA!
This is yet another time to reflect on maternal mortality in this country!
MIMI WOS kama mwanamke....najua kabisa kuwa, Mungu alipomuumba mwanamke na kumpa jukumu la kushiriki uumbaji na kuleta viumbe duniani, alimpa adhabu moja tu - kuumwa uchungu wakati wa kuzaa lakini siyo kufa!

Tujiulize- kama kodi zetu zingetumika kwa vipaumbele sahihi, wamama wengi wangezaa salama! Ni aibu kwa nchi yetu kutokushtuka pale wakina mama wanavyozidi kupoteza maisha kwa vile ati wanatekeleza majukumu yao ya kijinsia/jinsi.

Nchi za wenzetu waliondelea, wanawake kufa kwa uzazi ni kitu kisicho cha kawaida.Huku kwetu, mwanamke anapokaribia siku ya kuzaa huona kifo kikimnyemelea..nakumbuka kupitia hofu hii ya kutisha.

Tumwombee ,mwenzetu aliyetangulia mbele ya haki, MUNGU AMPE HURUMA YA PEKEE NA AMSAMEHE MAKOSA YAKE, AMLAZE PEMA PEPONI - AMEN!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom