Habarini za hasubui, naombeni msaada wa ushauri na namna ya kuandika proporsal ya media organiser

kinyongo

Member
Oct 13, 2012
39
9
Naombeni msaada wana JF wale wenye uzoefu na media organiser kwa mashirika na Makampuni Mbalimbali namaana kwamba nataka kuwa Afisa habari wa kujitegemea nisaidieni Tafadhali namna ya kuandika proporsal pamoja na ushauri.
 
Back
Top Bottom