Habarini wana jukwaa.

mwarabu wa dubai

JF-Expert Member
Nov 29, 2015
317
303
Wanajukwaa naombeni ushauri wenu wa kitaalamu zaidi ila ulenge kwenye mambo yafuatayo:-ufanisi(performance),fuel consuption,durability,prices,spare parts haswa upatikanaji wake katika gari hizi tatu hapa chini:-
a/Toyota verossa.
b/Toyota mark x.
c/Toyota altezza.
Ushauri wenu ni muhimu sana wakuu haswa uki-base kwenye vipengele hapo juu lakini ulenge haswa kwenye elimu ya magari hayo hapo juu.Tafadhali nawasilisha mbele yenu kwa moyo mkunjufu kabisa karibuni wadau.
 
Back
Top Bottom