Habari

Binti ni dhahiri ushagundua it is the
Best jamvi....lol.. yaani hapa MMU...

Karibu saana...
 
Hodi mabibi na mabwana,naombeni mnipokee jamvini kwenu.

Karibu mwanakwetu, manake ulivyotoka na huo mchuchumio!! na hiyo pafyumu uliyojipulizia umenunua wapi swahiba?!ina harufu nzuri ile mbaya tofauti na ile niliyokununulia k,koo!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom