Habari zilizonifikia muda huu zinasema kwamba.....

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,052
107,536
Ndani ya Saa chache au siku mbili au tatu tu zijazo Mchezaji mahiri wa Kiungo wa Yanga FC Haruna Niyonzima anategemea Kusaini kandarasi ya kuichezea Klabu ya Simba SC kwa miaka miwili ( 2 ) kwa ada ambayo itavunja rekodi nchi nzima.

Nawasilisha.
 
iko hivi kilichobaki ni kutangazwa t hadharani but niyonzima tushamalizana nae tangia jana mchana...sasaiv tunahangaika na wanasheria wetu kuangalia jinsi gani tutavunja Mkataba wa saimon msuva na yanga mana ametuambia hajalipwa mshahara wake wa miez mitatu sasa...
 
Mikia hawana akili hata siku moja. Badala ya kutulia wajenge timu kila siku kusajili wachezaji wapya tu, wengine wanaozea benchi wengine wanaachwa ndani ya msimu mmoja. Wendawazimu hawa wanadhani kusajili wachezaji lukuki ndio siri ya mafanikio. Hawana habari kwamba wachezaji wakizoeana ni faida kwa timu. Upuuzi mtupu, wala hawafiki kokote Malimbukeni wakubwa

18527961_10158608900200231_7866133139207964663_n.jpg
 
Mikia hawana akili hata siku moja. Badala ya kutulia wajenge timu kila siku kusajili wachezaji wapya tu, wengine wanaozea benchi wengine wanaachwa ndani ya msimu mmoja. Wendawazimu hawa wanadhani kusajili wachezaji lukuki ndio siri ya mafanikio. Hawana habari kwamba wachezaji wakizoeana ni faida kwa timu. Upuuzi mtupu, wala hawafiki kokote Malimbukeni wakubwa

View attachment 523524
Hili povu sio la dunia hii!!
 
Pole na povu mkuu
 
Huyo nionzima bora aondoke tu,kwanza simpendi.mchezaji gani kazi kutoa mipasi kwa adui na kurudisha mipira nyuma,simba chukueni toaaaa hapa
 
Mikia hawana akili hata siku moja. Badala ya kutulia wajenge timu kila siku kusajili wachezaji wapya tu, wengine wanaozea benchi wengine wanaachwa ndani ya msimu mmoja. Wendawazimu hawa wanadhani kusajili wachezaji lukuki ndio siri ya mafanikio. Hawana habari kwamba wachezaji wakizoeana ni faida kwa timu. Upuuzi mtupu, wala hawafiki kokote Malimbukeni wakubwa

View attachment 523524
Hahahahahah
 
huu usajili ni ushauri wa kocha au sababu pesa zipo???
Ina maana Lwandamina hajashauri Yanga msajili wachezaji? Mbona hamjasajili na wote mliowapa milioni tano za 'kishika uchumba' wameenda kusaini kwingine? Endelea kusubiri ushauri wa kocha
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom