Saint Mohamad Petro
Member
- Nov 29, 2012
- 8
- 0
Ndugu wanajamii wote nawasalimu.. Mie ni mgeni mitaa hii. naombeni ushirikiano wenu katika kumkoma Nyani Giladi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo mimi hapa brother! mambo zako vipi?mmmh!!! Saint Mohamad petro
Ndugu wanajamii wote nawasalimu.. Mie ni mgeni mitaa hii. naombeni ushirikiano wenu katika kumkoma Nyani Giladi.
Asante ndugu Globu.:whistle:Karibu.
Ndiyo mimi hapa brother! mambo zako vipi?
He he he.. ki-mshikamano zaidi.. u know wat i mean Man??:becky:Hiyo ID...:shut-mouth:
Karibu sana mgeni.
Ndugu wanajamii wote nawasalimu.. Mie ni mgeni mitaa hii. naombeni ushirikiano wenu katika kumkoma Nyani Giladi.
Aisee,asante. nami sizihitaji Stress,,nitaingia huko.Ni njema, karibu jukwaa letu la chit chat a.k.a stress free zone
Nimeona niwe fair,kila mtu/kundi lipate utukufu..sawa Osaka?Karibu kwa Jukwaa, lakini angalia hiyo ID yako isije kufanya watu waanze maandamano!
Ndugu wanajamii wote nawasalimu.. Mie ni mgeni mitaa hii. naombeni ushirikiano wenu katika kumkoma Nyani Giladi.