habari zenyu banaa!

Qastrap

Member
Nov 24, 2010
17
20
ni vp str8Muzik ilivyobamba...si mmeziona performance za wakare kutoka mbare kule america? Ni tofauti kinoma na shoo za bongo ryt...ingawaje 2mezipga hatua kwnye ku-hip hopuka ka kina bonge na vi2 ka ivo!
Lakini t pain ni hatari hommiez....
 
Jof

Member
Nov 13, 2010
31
0
Wabongo twaweza kufisadi tu, so usithubutu kumfananisha t-pain na msanii yeyote bongo...tupo nyuma ya zero yaani -ve, na kwa uongozi huu wa kuchakachua mh sijui!
 
Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,452
2,000
Hili tamasha halikuwa na mkono wa CLOUDS MEDIA? Maana nimeiona katika matangazo ya CHANNEL TEN na DTV...
 
Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,310
2,000
Lugha za kitaa hizo my dear wenyewe wanaita swangaz! sasa wewe huko yaeda chini na BAKITA huwezi ambulia kitu bana

mweee.....basi dear naomba unitafsirie....nina hamu sana ya kufuatilia sredi lakini ndio kama vile......sielewi
 
MUSINGA

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
948
1,000
ni vp str8Muzik ilivyobamba...si mmeziona performance za wakare kutoka mbare kule america? Ni tofauti kinoma na shoo za bongo ryt...ingawaje 2mezipga hatua kwnye ku-hip hopuka ka kina bonge na vi2 ka ivo!
Lakini t pain ni hatari hommiez....
mhh twafire kinyammbari!!!!
 
hashycool

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
6,574
2,000
ni vp str8Muzik ilivyobamba...si mmeziona performance za wakare kutoka mbare kule america? Ni tofauti kinoma na shoo za bongo ryt...ingawaje 2mezipga hatua kwnye ku-hip hopuka ka kina bonge na vi2 ka ivo!
Lakini t pain ni hatari hommiez....

habari zetu nzuri banaa.....we mpaka sasa una singo ngapi? na wewe una sound kama mwana ngeli ya genge
 
The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,617
1,225
Hili tamasha halikuwa na mkono wa CLOUDS MEDIA? Maana nimeiona katika matangazo ya CHANNEL TEN na DTV...

Hapana TCC kwa kupitia brand yao ya SM ambao ndio walikuwa wadhamini wa hii shoo waliwapa deal jamaa wanaoitwa ENTERTAINMENT MASTERS kuendesha hili tamasha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom