HABARI ZENU WANA JF NAJITAMBULISHA KWENU NAOMBA MNIPOKEE KWA MOYO MMOJA NA TUSHIRIKIANE KUSONGESHA GURUDUMU LA MISWADA YA HUMU


MSITU WA AJABU

MSITU WA AJABU

Member
Joined
May 8, 2019
Messages
49
Points
95
MSITU WA AJABU

MSITU WA AJABU

Member
Joined May 8, 2019
49 95
katika maisha usimdharau mwenzako hujui kesho yake Mungu ni wa wote tuungane watanzania kwa nia moja moyo mmoja pale wenzetu wanapopata na matatizo tatizo la mwingine lione kama lako maana hujui kesho wewe utasaidiwa na nani Mungu awabariki sana!!!!!
 
Swet-R

Swet-R

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2018
Messages
855
Points
1,000
Swet-R

Swet-R

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2018
855 1,000
UMEONGEA NINI HAPO MKUU? Unaomba upokelewe,halafu usimdharau mtu,halafu ukasema hujui ya kesho,halafu Mungu ni wa wote,halafu Watanzania.
 
Relief Mirzska

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Messages
5,042
Points
2,000
Relief Mirzska

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2017
5,042 2,000
Sijambo, shkamoo

I miss you
Sio vizuri kuniamkia, maana mwisho wake inakuwa "mimi nlijua wewe ni kaka yangu"

Miss you more kwa kweli.

Nani kakuficha??
 
MSITU WA AJABU

MSITU WA AJABU

Member
Joined
May 8, 2019
Messages
49
Points
95
MSITU WA AJABU

MSITU WA AJABU

Member
Joined May 8, 2019
49 95
UMEONGEA NINI HAPO MKUU? Unaomba upokelewe,halafu usimdharau mtu,halafu ukasema hujui ya kesho,halafu Mungu ni wa wote,halafu Watanzania.
kila kitu kina maana mkuu tafakari tu utaelewa
 
Relief Mirzska

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Messages
5,042
Points
2,000
Relief Mirzska

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2017
5,042 2,000
UMEONGEA NINI HAPO MKUU? Unaomba upokelewe,halafu usimdharau mtu,halafu ukasema hujui ya kesho,halafu Mungu ni wa wote,halafu Watanzania.
Yaani anatuletea mazingalmbwe tu
 

Forum statistics

Threads 1,295,450
Members 498,335
Posts 31,212,482
Top