Naomba maoni yenu juu ya wazo langu hili

N wazo zuri sanaaa sema umeandika kiyonge sanaaa issue fanya kitu kwa jitihada nguvu ya mtu haijawahi kwemda bure cha muhmu zingatia kuwa na mzunguko wa watu na shughuri kadhaa ndo juice zinaywewa vyema
 
Ndoto nzuri, haya amka sasa uitimize.

Ila nashauri, ukiwa na ndoto yoyote ile, fanya kuandaa mpango kazi, kwa kuandika kwenye kitabu/daftar.

kuna miongozo mingi huku mtandaon, ya jinsi ya kuandaa/kuandika mradi,
Na pengine utafanya project yako kwa haraka au pengine hautafanya sasahiv, ila hata baadae ukija kuanza unakuwa una mpango kaz wako tayar, kwahiyo kuanza inakuwa kuna urahisi.

au pengine unaweza kuuza mpango kazi wako kwa mwenye uhitaji na mradi kama huo.

Nimefikiria pia kutengeneza mfumo wa kimtandao - kabla ya hii, hebu kwanza usibiri mradi wako uimarike.
 
Matatizo/Uhitaji wowote unao wakabili binadamu uweke kwenye digital .....
then you will be the next billionaire......
Niliikuta sehemu hii sio maneno yangu
 
wazo zuri sana cha kufanya weka kwenye mpango kazi hiyo ndoto yako kisha anza kutafuta vitendea kazi vya kufanya halafu ingia ulingoni uanze kazi
 
Nina ndoto ya kufungua duka la vinywaji vya matunda asili, (smoothie), kahawa, na fruti. Nimefikiria pia kutengeneza mfumo wa kimtandao ambao utamruhusu mtu kununua na kuweka order ya vitu hivyo ambavyo nitataka kuuza.

Mpaka hapa kwanza wacha ni check feedback zenu.
Nenda kwa mark juice akupe muongozo..hyo business imevamiwa dar hapa...kila kona..

ILA.....mchaw wa biashara yoyote ni location tu..ukipata location yenye uhitaj wa hyo kitu...umeula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kukuona mbali sana hasa kwenye maisha lakini siwezi kukushauri kitu hiko

Note
Kama wewe ni KE fanya hiyo biashara ila ikiwa ni kinyume chake acha kabisa. Maana kama ni mwanaume ubongo wake capacity yake ni 700GB bado kuna vitu vingi vya kujifunza

Mungu awe nawe
 
Back
Top Bottom