Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Fisadi Lowassa amekuja kaiua Bavicha piaHabari yenyewe ni ipi?
Tumaini Makene aliwahi kuwatolea watu maneno ya kashfa kisa wakati anakanusha tetesi za Fisadi Lowassa kuhamia Chadema, tumemsihi zaidi ya mara tatu kuwataka radhi watu wale na hakuwahi kufanya hivyo.
So naye ni mchumia tumbo na yeye siyo reliable.
cc The Boss
Fisadi Lowassa amekuja kaiua Bavicha pia
Ni kama CHADEMA walivokuwa wanaeneza uzushi kuhusu Kinana kwamba ametekwa na amejiuzuru...Mpaka baadhi ya wabunge na viongozi wakaanza kuhoji wapi alipo Kinana...Baadae Kinana aliwajibu kwa vitendo akiwa Luanda - Angola..
Karibu Dodoma tupo Nae kwenye vikao vya chamaNi kama CHADEMA walivokuwa wanaeneza uzushi kuhusu Kinana kwamba ametekwa na amejiuzuru...Mpaka baadhi ya wabunge na viongozi wakaanza kuhoji wapi alipo Kinana...Baadae Kinana aliwajibu kwa vitendo akiwa Luanda - Angola..
Ni vema Tumaini Makene angeeleza habari sahihi ya ni wapi alipo Dk. Mashinji na kwa nini hasikiki..
That hoples guy is a failureKaribu Dodoma tupo Nae kwenye vikao vya chama
That hoples guy is a failure
YAANI MPAKA AWE ANAONGEA SANA KAMA YULE ALIYETOROKA NDIO MJUE ANAFANYAKAZI? HATA MARAIS WAKO HIVO HIVO WENGINE KIMYA NA KAZI ZINAENDELEAMkuu hivi vyeo vya kuwekana ndo matatizo yake, watu wanamweka mtu ili iwe rahisi kupitisha mambo yao kumbe wanafanya mauaji ya chama.
Sisi bado sana kwenye siasa, na CCM wataendelea kucheza na njaa zetu mpaka akili zitujie.
kumbe kweli Diallo mnampa Ukatibu MkuuKutoka Chadema Ina Dkt Slaa vs CCM Ina Kinana
Muda mfupi ujao Chadema Dkt Mashinji vs Anthony Diallo
Kutoka Spika ni Hayati Mzee Sitta vs Kiongozi wa Upinzan Bungen Dkt Slaa Mpaka sasa KUB Mbowe na Spika ni Ndugai
Kutoka Katibu Mwenezi wa Chadema Mnyika bs Katibu Mwenezi wa CCM Nape Sasa hivi kushoto yupoTumaini huku yupo Humphrey
Kwny Siasa zetu Siku hizi tunaelekea tulipotoka