mbatia mnzava
Member
- Jul 1, 2011
- 27
- 3
Jana jioni kulitokea ajali ya gari wilayani same kata ya vudee.Watu kadhaa wamefariki.Na baadhi walijeruhiwa na kuwaisha hospitali ya wilaya ya same.
Ukisikia nchi ambayo wananchi wake wameingiwa na ushetani ni Tanzania. Unadai kuona picha ya maiti/majeruhi? Akili zako ziko wapi? Ukishaiona utafaidi nini? Wewe unawanga usiku? F@%¤hebu tuwekee picha mkuu
Mungu aziweke mahali pema roho za marehemu. Wafiwa poileni sanaWalio fariki ni wanafunnzi wa wili,Mwali mmoja mstaafu jina kakore na mfanyabiashara aitwaye mrindoko.Jumla wako 7 waliofariki na ni wa kijiji kimoja kinachoitwa ndolwa.Chanzo cha ajali ni mwendo kasi.