Habari za nje kuhusu bomu la Arusha mkutano wa CHADEMA

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Wakati vyombo vya habari hapa nchini vikisuasua kuhusu mlipuko wa bomu lilosababisha vifo katika mkutano wa CHADEMA jana, hizi ndizo habari zilizoandikwa na magazeti ya nchi za nje:


Three Feared Dead in Arusha's Political Rally Bomb Blast

2013-06-16 02:11:51 Xinhua Web Editor: Mao Yaqing

Three people feared dead and more than 70 injured on Saturday in a bomb explosion which hit a fully-packed political party rally in Tanzania's northern safari capital of Arusha.

The incident occurred on Saturday evening when a Tanzania's strong political party (CHADEMA) was wrapping up campaign rallies in the four ward councilor's by-elections.

The by-election is expected to be held on Sunday for ward councilors of Kaloleni, Elerai, Kimandolu and Themi.

It is just one month when a similar bomb explosion hit a Catholic Church in Arusha, killing three people, injuring dozens.

Eye-witness told Xinhua that the bomb hauled in the area when the party leader was about to close the meeting.

Chadema's regional secretary in Arusha, Amani Golugwa, expressed his shock on the incident, saying: "This is a very unique experience since Tanzania get into multiparty democracy."

He however declined to link the incident with other political allies as nobody arrested in connection with the incident.
"It was chaos at the scene as everyone was busy to save his/her life," one of the eye-witnesses said, adding that police who were at the meeting fired live bullets.

It is estimated that 70 people have been injured and were rushed to Seliani Mission Hospital and Mount Meru Regional Hospital.
Arusha Regional Police Commander, Liberatus Sabas confirmed the incident, though declined to comment anything, saying: "It is too early to comment we are still working on the matter. Tomorrow I will be able to say something on this."


Source: http://english.cri.cn/6966/2013/06/16/2702s770395.htm
 
Three killed by explosion at Tanzanian opposition party rally

Reuters) - At least three people were killed and several injured on Saturday evening by an explosion at an election rally held by Tanzanian opposition party Chadema, witnesses and the state broadcaster said.

Police said they were still investigating the cause of the blast in the northern city of Arusha but senior political figures made clear they believed the incident was a bombing.

"At least two children and one woman died in the explosion. More than a dozen people were injured and rushed to hospital ... it was a nightmare," said Rose Shayo, an eyewitness.

The blast occurred near the main stage as party chairman Freeman Mbowe was addressing supporters in the Soweto area of Arusha, the Tanzanian Broadcasting Corporation reported.

"We have launched an investigation into the incident... there was a lot of panic and chaos after the explosion went off," Advera Senso, national police spokeswoman, told Reuters.

Chadema officials have long complained against a government crackdown on opposition demonstrations and public rallies. They were not immediately available for a comment after the explosion in Arusha.

"I'm sincerely saddened by a bomb blast in a campaign rally in Arusha. My condolences to those who lost their loved ones," ruling CCM party member of parliament Hamisi Kigwangalla said in a statement.

"I join you in condemning (those responsible) and consoling those who lost their loved ones as we await an official government statement," Foreign Minister Bernard Membe said on his Twitter account.

(Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala; Writing by Duncan Miriri; Editing by Andrew Roche)

Three killed by explosion at Tanzanian opposition party rally | Reuters
 
Seven people were injured on Saturday evening by an explosion at a local election rally being held by the Tanzanian opposition party Chadema in Arusha, state television reported.



The blast occurred near the main stage as party chairman Freeman Mbowe was addressing supporters, the Tanzanian Broadcasting Corporation reported.
Voice of Russia, Reuters


 
Nimesikia JK katuma salamu za rambi rambi through TBC. Asubuhi hata ITV Radio one hawakusema cho chote kuhusu tukio hili
 
Nimeshangaa hata ITV INASEMA LEO ASUBUI WATU 7 WALIJREUHIWA BASIIII!CCM WANADHIBITI MPAKA VYOMBO VYA HABARI
 
Vyombo vyetu vimeshapewa maagizo visirushe

Nilishangaa sana ITV jana saa mbili usiku wameiongelea kwa kifupi sana bila picha wala kuwepo kwa mwandishi wa habari aliyepo Arusha wa kutoa ufafanuzi zaidi. Na haikuwa habari ya kwanza wala ya pili, ilitangazwa tu kama habari ya paka kukamata panya...
 
Vyombo vyetu vimeshapewa maagizo visirushe

Tunakuwa kama mbuni anayejificha kwa kuingiza kicha chake kwenye mchanga akifikiria kuwa haonekani mwili mzima, kumbe kichwa chake ni kidogo kuliko mwili wake, anaonekana vizuri tu.
 
nimeanza kupendezwa na mtazamo wa vyombo vya habari vya tz,nadhani wameshaona hatari ya machafuko na wao kama wadau wakubwa wa amani wameamua kusimama upande wa tz.hongera sana.vyombo vya habari vilichangia kwa kiasi kikubwa kwenye machafuko ktk nchi mbalix2 duniani.inakusaidia nini vyombo vya habari vikitangaza kwa mbwembwe waliokufa na kujeruhiwa zaidi ya kupandisha wananchi hasira na kujenga visasi?
 
Hili ndiyo tatizo kubwa sana tulillonalo Tanzania, Hatuna Vyombo vya habari na waandishi wa habari ambao wanaweza kuchambua mambo na kuhabarisha jamii bila woga. Habari zote ni kama vile zinakuwa edited na Serikali kabla hazijaandikwa au kutangazwa
 
Vyombo vyetu vilisha wekwa plasta mdomoni na kalamu vimenyan'ganywa mungu turehemu Tanganyika
 
La ajabu hadi sasa hamjakata waarabu ? Maana humu wanajf wamelekezwa kuwahusisha waarabu katika kila tokeo!!
Fungeni mipaka waarabu wasiondoke.
fungukeni muone ukweli Rais JK yuko safari UK kaamua kurudi nyumbani haraka. Dk. Slaa yuko Ujerumani bado anajishauri la kufanya, keshatuma rambirambi. WHAT to do?
 
Kwa jinsi tusivyoijua dunia basi tunafikiri na dunia haitujui.
 
nimeanza kupendezwa na mtazamo wa vyombo vya habari vya tz,nadhani wameshaona hatari ya machafuko na wao kama wadau wakubwa wa amani wameamua kusimama upande wa tz.hongera sana.vyombo vya habari vilichangia kwa kiasi kikubwa kwenye machafuko ktk nchi mbalix2 duniani.inakusaidia nini vyombo vya habari vikitangaza kwa mbwembwe waliokufa na kujeruhiwa zaidi ya kupandisha wananchi hasira na kujenga visasi?

You are a f...k ....!
 
Kwani nani hapendi kucha,meno, na macho yake.? Vp mechi ya leo itaonyeshwa tbc? leo hatuna mgeni wa China eti...!
 
La ajabu hadi sasa hamjakata waarabu ? Maana humu wanajf wamelekezwa kuwahusisha waarabu katika kila tokeo!!
Fungeni mipaka waarabu wasiondoke.
fungukeni muone ukweli Rais JK yuko safari UK kaamua kurudi nyumbani haraka. Dk. Slaa yuko Ujerumani bado anajishauri la kufanya, keshatuma rambirambi. WHAT to do?

kila post unataja waarabu ,ni bwana zako nini?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom