Habari za mchana huu wana JF

pido guy

JF-Expert Member
Apr 7, 2016
249
275
Ninaitwa Alfred James ninaishi Arusha kikazi nimeajiriwa serikalini ila mimi ni mwenyeji wa kanda ya ziwa mkoa wa Mara wilaya ya Bunda
Umri wangu miaka 32 nina watoto wawili wote wa kiume,
Natafuta mwanamke wa kuoa awe na umri angalau miaka 24-27 mrefu na mnene wa wastani na akiwa mwembamba asiwe mwembamba sana awe mweupe au maji ya kunde
Hakika nitampenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom