Habari za leo ...Husband fined $13k for not having sex

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
18,176
Points
2,000

afrodenzi

Platinum Member
Joined Nov 1, 2010
18,176 2,000


A French woman was so fed up with her sexless marriage that she decided to sue her husband. And she won.

The former couple, known only as Jean-Louis and Monique, had been married for 21 years and had two children
when Monique decided to take her husband to court.


Jean-Louis, 51, was fined 10,000 Euro ($13,370) under a civil code that states married couples must agree to a
"shared communal life", Britain's The Telegraph reported.


"A sexual relationship between husband and wife is the expression of affection they have for each other,
and in this case it was absent," the judge said.

"By getting married, couples agree to sharing their life and this clearly implies they will have sex with each other."
Jean-Louis' job and ill-health prevented him from fulfilling his matrimonial duties, the court was told.

source.... yahoo news
 

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
9,006
Points
2,000

IGWE

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
9,006 2,000
wakati hali ni tofauti huku kwetu_wanaume tunalipa hela ili kupata hiyo huduma kwa wanawake....period
 

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
18,176
Points
2,000

afrodenzi

Platinum Member
Joined Nov 1, 2010
18,176 2,000
wakati hali ni tofauti huku kwetu_wanaume tunalipa hela ili kupata hiyo huduma kwa wanawake....period
huwa mara nyingi hapa JF naona malalamiko..(kutoka kwa waume)
ni mwanamke ambaye anaesema amechoka , mara hajisikii..
lakini kumbe hili tatizo liko pande zote...
 

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,198
Points
2,000

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,198 2,000
Hapa kwetu ni wanawake wanasema wamechoka na sio mwanaume aache kufanya hiyo mambo bana
Huyo mwanaume atakuwa na matatizo ya problem
 

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
9,006
Points
2,000

IGWE

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
9,006 2,000
huwa mara nyingi hapa JF naona malalamiko..(kutoka kwa waume)
ni mwanamke ambaye anaesema amechoka , mara hajisikii..
lakini kumbe hili tatizo liko pande zote...
aaaaaaah!...hapa kwetu africa hatuna hilo tatizo,.....wale tatizo ni yale maviakula wanayokula,......chips na hayo mambo wapi na wapi bana
 

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,198
Points
2,000

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,198 2,000
AD kwetu kuchoka kunachangiwa sana na nyie na sio kama kila kitu kikiwa constant mwanaume achoke
Kama wewe mama huna attraction na kila siku umekaa kichovu chovu lazima nichoke bana
 

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
9,006
Points
2,000

IGWE

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
9,006 2,000
kwa hiyo ukinyimwa unyumba kumbe unaweza kumshitaki mume sio?
kwani hata wewe unanyimwa!........labda kama umeolewa na mzungu,...sisi kamwe hatunyimi bana na ndio maana hakuna sheria iliyotungwa kuhusiana na hilo jambo.
 

Elia

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Messages
3,439
Points
1,195

Elia

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2009
3,439 1,195
Nampa pole huyo jamaa
maana ana haki ya kuchoka ikichukuliwa wanavyo fanya hayo majambo yao mwaka mzima
sisi huku utasikia mtu kafa akishughulika
sababu hatujui kusema nimechoka
 

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
48,071
Points
2,000

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
48,071 2,000
huwa mara nyingi hapa JF naona malalamiko..(kutoka kwa waume)
ni mwanamke ambaye anaesema amechoka , mara hajisikii..
lakini kumbe hili tatizo liko pande zote...
hayo matatizo yapo sana hapa tz mtu wangu ..sema wanawake wetu hawajui haki zao...wanawake wanapata sana shiida kwenye majumba yao huko nadi na kuna siri nyingi sana zimefichika mtu wangu...
this is true even if you dont believe
 

Forum statistics

Threads 1,379,532
Members 525,452
Posts 33,748,371
Top