MWKJJ unajua wanasiasa wajanja sana. Wameshajua kwamba acha waruhusu haya mambo kuwakeep busy wabongo manake baada ya wabongo kukata tamaa na siasa za kibongo bongo basi habari za namna hii zitawaondoa msongo wa mawazo. Ukitaka kujua, angalia kiwango cha mauzo cha haya magazeti ya 'udaku'.
Pili unategemea serikali itafanya nini kama 'tajiri' wa baadhi ya haya magazeti ni kada wao maarufu wa 'mambo ya vijana na ukimwi'?
Suala la msingi ni kwamba kuna haja ya serikali kuendena na hizi mbio za teknolojia na kuhakikisha inaziboresha sheria zake katika kusimamia haya masuala.