Habari za Kusagana, Ngono, na Serikali ya CCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari za Kusagana, Ngono, na Serikali ya CCM!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Apr 17, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Apr 17, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,386
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Imetoka kwenye Gazeti la Ijumaa April 17-23, 2009.

  Je, kuna vitu ambavyo magazeti hayawezi kuviandika bila kuwa graphic kama ilivyo kwenye makala hii?

  Je, Serikali inatambua madhara ya habari kama hii kusomwa na mtoto mdogo wa shule ambaye anaweza kulipata gazeti hili mitaani?

  Je, Wizara ya Habari na Utamaduni chini ya mtani wangu Mkuchika wanafanya nini kuzuia kile ambacho wagiriki wa kale walikiita corrupting the morals of the minors? na ambacho hata sisi tunacho kwenye sheria zetu?

  Ni mpaka Waziri gani aandikwe kuwa anasagana ndipo watajua habari kama hizo ni detrimental to the welfare of our youth?

  Kuna mtu anayejali? Wachungaji na Mashehe wako wapi kupinga uchafu huu au ndio wanasubiri hadi mwanasiasa awaalike?

  Taasisi za haki za watoto ziko wapi au hadi waahidiwe fedha?

  Mwanakijiji!
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Balaaaa.....kweli dunia ina mambo...na hawa waandishi naoo...duuu...haya wanauza ila athari yake kwa jamii ???ni kubwa sana sana.
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Apr 17, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,386
  Trophy Points: 280
  kilichonitibua ni jinsi gani mtu amekuwa graphic kiasi hicho. Sasa for a child with a vivid imagination.. si watachongeana hivyo vidubwasha? Kama serikali inasanction mambo kama haya (by their inaction) ni bora waweke sera ili watu wajue vitu gani vinanunuliwa wapi, na waruhusu wenye uwezo wa kuwekeza wafungue maduka ya peep show na sex toys show.. ili kila anayetaka ajipatie!

  Hata watu wa magharibi ambao wako open sana kwenye mambo haya kuna vitu hawafanyi au kuruhusu!
   
 4. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  They say sex sells tena inaelelekea the more perverted the better, huoni hata humu kukuwa na threads zenye such topics zinapata wachangiaji wengi unlike "scientific" ones? Maadili kweli yanabadilika Tanzania, au ilikuwa hivi siku zote ila sasa vinaandikwa zaidi?
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Apr 17, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,386
  Trophy Points: 280
  Serikali kama imeshindwa kudhibiti kuenea huku kwa mambo haya basi itunge sheria ya kuregulate sex industry in the country and pornographic material badala ya kuzipiga marufuku tu.
   
 6. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hii ni reflection ya jamii yetu, kwamba upuuzi kama huu unachapishwa na kuuzwa inaonyesha kuna wanunuzi.

  Waweke regulation tu na kuwauzia wanaotaka, almuradi wamefikia umri wa kutosha, like that is going to happen.

  Bongo mtoto mdogo anatumwa na baba kununua sigara, na dukani wanamuuzia bila ntimanyongo wala nini.

  Utachoka!
   
 7. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapa swala ni nini mwanakijijij? Tatizo ni usagaji ama maelezo ya kina yalivyotolewa? sheria zetu zinakataza usagaji. Kwa upande wa zanzibar kunakifungo cha miaka saba kwa wanawake kama sikose, bara hawajaweka bayana, lakini mashogo wanakifungo zaidi ya miaka 10. Kwahiyo sera hiwezi wekwa mpaka sheria za homosexuality zifutwe. "Je sheria hizo ni haki?"

  Lakini turudi kwenye swali la msingi, Je Tanzania kama nchi itoe uhuru katika sexuality?
   
 8. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  I could care less about the sexual life of a has been ex aspirant to some miss whatever contest. Waacheni wasagane mpaka wabaki unga halafu wabwiane.

  My outrage is on the graphic depiction on printed matter, available for all at a small fee.

  This open temptation at shoving what could very fairly be categorized as indecent literature down minors throats is what makes this piece outrageous.

  If you ask me, from the despicable accounts, if at all you can be tempted to lend an iota of credence to the non-story, the "journalist" and the girls are both frustrated with bongo life, and out to make a buck.
   
 9. D

  Darwin JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hahaaaaaaaaa
  Eti waacheni wasagane mpaka wabaki unga halafu wabwiane.

  Nikija kwenye issue ya hii thread.

  Hawa hawanilazi macho kama mafisadi wa nchi.

  Labda kuna utamu wanapata sisi wengine hatuujui
   
 10. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu MMK, mi nadhani habari hizi zinawafunza watoto pia kuwa jamii haiwakubali wasagaji. Ladda udani wa habari yenyewe unaweza kujadirika.
  mmmmh Mkuu mbona mi sioni vitu wanavyozuia mamo yote yapo hadharani tuu.
   
 11. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  That's what needs to be done.
   
 12. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2009
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Habari ni ya kipuuzi lakini sioni hicho kitu graphic kinachowakwaza watu.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Apr 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kila mtu ana maono yake......
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Apr 17, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,386
  Trophy Points: 280

  tatizo ni kuwa itakapoandikwa "Mbunge akutwa Asagana na Waziri" basi mtasikia kina Mkuchika na watetezi wa maadili wakiibuka na kusema "tunachafuana" na wengine wataitisha mikutano ya waandishi wa habari kudai magazeti yanaandika matusi ya wazi!
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Apr 17, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,386
  Trophy Points: 280
  inatabakia labda uko nchi gani.. lakini kuna mambo yanazuiwa. Kama umewahi kuangalia picha za ngono utaona wanaweka matangazo ya kisheria ya kuwaasa watangazaji wake. Na hiyo habari iliyoandikwa hapo ikiandikwa kwa kiingereza huwezi kuitoa kwenye gazeti la kila siku la mji wowote Marekani!
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Apr 17, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,386
  Trophy Points: 280
  mtoto wangu wa kike baada ya kusoma gazeti hili ambapo kichwa hicho cha habari kipo ukurasa wa mbele kauliza "Baba kusagana ndiyo nini"?..

  My friend, the story has kwazad me much. Tutaruhusiwa kweli kuwalea watoto wetu tupendavyo na kuwafundisha kwa kadiri tunavyopima muda wa kuwaambia mambo fulani? Au wanataka kutulazimisha tuwakataze kutuuliza uliza maswali ya kipuuzi ili watu wengine "wawafunze"?
   
 17. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #17
  Apr 18, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160

  Hivi kila jambo ambalo linaonekana kuwa limeshindikana kwa kukosa kwetu maalifa ya kukabiliana nalo, inabidi serikali ilifanyie mkakati wa kulihalalisha!?

  Itafikia kipindi kwa kushindwa kwa serikali kudhibiti UFISADI, tutashuhudia ukitungiwa sheria ya kuhalalisha ili ukubarike... Kama walivyo halalisha rushwa na kuibatiza kwa jina la TAKRIMA.
   
 18. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #18
  Apr 18, 2009
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Samahani, Mkuu lakini swali hilo si kama lile la kuulizwa mtoto anatokea wapi? Kutegemea na umri wa mtoto, mzazi yeyote anapaswa kutarajia maswali kama haya na ajue namna ya kuyajibu. Kujamiana ni sehemu ya ubinadamu na there is no shame in it. Kama tunaweza kufahamisha kuhusu watu wawili wa jinsia tofauti kujamiana inatushinda nini kufahamisha kitu hicho hicho inapohusu watu wa jinsia moja? Mawazo kama haya ndiyo yanayotufanya tuone aibu tunaposikia mtu anazungumzia sanitary pad kwenye luninga wakati ni sehemu muhimu ya maisha ya wanawake!

  Mimi nimeona habari ni ya kipuuzi kwa jinsi ilivyokuwa sensationalised na si kwa sababu hao mabinti wamefanya wanachodaiwa kufanya.

  Amandla......
   
 19. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #19
  Apr 18, 2009
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Wanasaganaje?

  Flat kwa Flat inakuja kweli?

  Sasa wale jamaa walokuwa wakidinda kutaka kuzuia Magay watalii wasije Tanzania kwa tabia zao chafu, wanajua kwamba hao magay wakija ndo kwanza watajifunza mitindo mipya badala ya kutuambukiza tabia mbaya?

  Mammbo haya ya usagaji Usenge na ubaya ni ya siku nyinmgi sana. Yamekuwa hayaandikwi tu lakini huko mitaani Wasagaji wanjulikana, Wadada wanao sagwa wanajulikana ,Mabasha wanajulikana na machoko pia.

  Wanao dhani ni rahisi kuficha mambo yanayoendelea mitaani wasahau hilo kabisa. Jinsi siku zinavyo katiza na uwazi kutanda ndivyo aibu yetu itakavyo zidi wekwa hadharani.

  Tunajidai kwamba sisi waTanzania ni watu wenye adabu nyingi na hatuna mambo ya ovyo wakati ngono kama hizi na zile za asili za mtu kitu kwa kujiiba ndo wenyewe.

  Wazee na mvi zao wanatamani watoto wadogo kama vile wamepuliziwa Limbwata lililochanganganywa na maynyoya kutoka sehemu za siri za mbwa.

  Mimama nayo inatamani vivulana kama kutamani chipsi kuku, pilipili mbuzi kibao na soda baridi ya Pepsi usawa wa saa 7 mchana pale DTown mitaa ya Samora, ili wapoze Uhanga wao tangu usichana.

  Hili la kuanika Tabia zetu hadharani haliepukiki hata kidogo.

  Kwanza kuna Midingi kibao ilijifungia ofisini mwao ili isome riwaya hiyo na kukizi hamu yao ya kutamani kupiga chapo wasaganaji hao wakiwa kazini.

  Mambo ya kipuuzi kama hayo ndo huleta hadithi za kukata kwa shoka na kufanya magazeti yanunuliwe.
  Je ni mambo mazuri kwa jamii, hilo watajaza watanzania wenyewe kusagana na kuiba noti za dola za uzito wa Tani 50 toka BOT kipi ni chema na kipi ni aibu ya karne?

  Pengine ni afadhari tuwe na wasagaji kila kona kuliko kuwa na mijizi isiyojua kesho wala kesho kutwa.

  Kwanza kutuibia mihela yote hiyo si sawa na kutufanya/ kutusaga Watanzania wote????

  Acheni zenu mambo ya aibu ni kuonyesha nyuchi zetu zikiwa kazini???

  Mambo ya aibu ni kuonyesha nyuchi za akili zetu zikisagana. Viongozi wetu wanaonyesha nyuzi za akili zao zikisagana kila siku,wote tunaona sawa, pengine tunawashangilia na kuwaonea gele.

  Unadhani Habari hii inaweza fanya gazeti liuzwe sana.

  SERIKALI YAAGIZA MATREKTA MAKUBWA 1000 ILI KUJIKWAMUA KWA NJAA MILELE


  Upuuzi! Uchuro!
   

  Attached Files:

  Last edited: Apr 18, 2009
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Apr 18, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Heheheheheeee....Madela bana...unachekesha sana
   
Loading...