Habari za Kitaifa toka ITV 08-02-2011 - VIDEO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari za Kitaifa toka ITV 08-02-2011 - VIDEO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kitungi, Feb 8, 2011.

 1. kitungi

  kitungi Senior Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu!!:clap2:
   
 3. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Leo sijaona wabunge wa CUF kukimbilia viti vya wabunge wa CHADEMA.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Nasikia waheshimiwa wabunge wanatoa maneno kama: Tumeshawazoea! Tulilijua hilo! Hamtutishi! Weak Politicians! Uchoyo! Hawana pa kukimbilia, watarudi!

  Nadhani kwa maneno hayo, basi Bunge la Tanzania linaweza kuunda Bendi nzuri sana ya mipasho na ikapata umaarufu manake wanao watumiaji wazuri wa haya maneno ya kupashana !!!

  Kaaaazi kweli kweli......
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hivi JK alivyosema huko duniani anamaanisha wapi?
  Ina maana Tanzania siyo duniani?
   
 6. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sasa CHADEMA wanavuka mpaka!!! hivi tumewatuma huko Bungeni kugombea madaraka au kutetea wananchi na kutunga sheria zetu nchini kwa maendeleo yetu?

  Sasa inabidi uchaguzi ujao wananchi tuwe waangalifu sana kuchagua Wabunge wasio na uchu wa madaraka kwa maslahi yao binafsi!
   
 7. paty

  paty JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  :clap2: KWA CHADEMA
   
 8. v

  vickitah Senior Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mi nadhani as long as hawavunji sheria basi CDM wana haki ya kusimamia kile wanachokiamini. Uwezekano wa wao kufanya kazi na CUF naona ni mgumu nanadhani hili lilianza kuonekana mapema tu kwa wao kurushiana maneno tangia mwanzoni. Ila wawe makini na hii mbinu ya kutoka bungeni maana huyu spika hachelewi kubadili kanuni kama walivyoanza leo'
   
 9. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Thanks kitungi,,, yaani umenifaa sana leo. Nimejisikia kama niko nyumbani bongo vile. Uwe unawekaga basi angalau taarifa ya habari ya ITV kila ikitokea issue nyeti,..... hata ukiweza kila baada ya wiki moja sio mbaya..

  Tulio mbali na home umetufaa sana leo.
  Thanks once again!!!!!!!!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. mwankuga

  mwankuga JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Asante sana mkuu,umetufaa sana,naomba kama inawezekana tuwekee kila siku,wengine tuko bush hatuna access na TV,big up mkuu
   
 11. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Thank you so much mkuu! na haya ya umeme kukatwa bila ratiba maalum, ilikuwa ishakula kwangu!
   
Loading...